Enzi hizo nikiitwa Mzee wa kupokea Thanks, kwa siku hizi ningeitwa mzee wa kupokea 'likes'. nilipotea kidogo lakini nimeona leo sikukuu, si vibaya nikapita kuwasalimu hasa wale ma Legend, nimewamiss Wapwa wa JF sijui bado wapo kwa ID nyingine, akina Pundit na kiingereza chake kigumu, Lunyungu na...