Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
👋

Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi.

Sasa alikuwa Facebook yupo messenger anachat na jamaa niliangaza macho kuona ase jamaa ana mwambia kuwa nakupigia video call nione kama kweli unakuja upo.

Kweli baada ya dakika moja tu alampigia video call mm nausoma mchezo tu akakata ndio naona tena jamaa anamuuliza mam yule kuwa umeagaje mama mwenyewe anafuraha ana mwambia nimeaga naenda kanisani jamaa alituma emoj ya kucheka baada ya muda akashuka kitu kinachofuata.

Sasa mke ndio huyu ukija kujua unafanyaje kama mkeo yupo Facebook azima simu yake ingia fb messenger unaweza jikuta unashare na mdogo wako kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom