Ilikuwa taharuki kubwa! Loh! Imefungiwa tena!
Kumbe was maintenance as notified by JF admin.
Naona imerudi tena..Asante JF Maxence Melo
Kumbe was maintenance as notified by JF admin.
Naona imerudi tena..Asante JF Maxence Melo
Ndicho kilichotokea.Could be a cyber attack sponsered by Malawi state apparatus.
Melo alikuwa hana taarifa nikamshitua ndio akaanza ku troubleshoot mamboMe mpaka nimepiga simu makao makuu nilipojibiwa roho ndo imetulia
Wewe kama mimi, nilidhani sasa ni tracking ya members...huyoooo KenyaMie nilitaka kupotea had j'tano nisionekane kabisaa hata WhatsApp.. 😂
Sana, yataua mtu yakifanikiwa..Maharamia wa CCM wako busy
Ni Maboresho ili tusidukuliweIlikuwa taharuki kubwa! Loh! Imefungiwa tena!
Kumbe was maintenance as notified by JF admin.
Naona imerudi tena..Asante JF Maxence Melo
ila shemeji 😂😂Mimi wala sikushtuka maana nilikuwa kuwa ilikuwa ni Kupatwa kwa JF, yaani jamiiforums eclipse 😎.
unafanya kazi jf?Ni Maboresho ili tusidukuliwe
Kuzomewa tu wanajinunisha? Ndiyo waone na kutambua ni uchungu kiasi gani kwa waliofiwa na watoto,ndugu,jamaa na marafiki kwa kupigwa risasi.Wajiulize,zomeazomea inaumiza kuliko vifo vya ndugu?Could be a cyber attack sponsered by Malawi state apparatus.
Mnapeleka Moto Sana kwa wauwaji wa Malawi.
Na ile kuzomeana kule Malawi Mall huku unakutana na malelekezo ya jumuiya ya madolari.