MIHAYO1710
Member
- Apr 7, 2018
- 22
- 50
Wakuu, heshima yenu. Baada ya kukaa kimya kwa muda wa miaka 9, Leo natangaza kurejea tena JF.
dr hassan hawezi kutofautisha wanaharakati na magaidiWakuu, heshima yenu. Baada ya kukaa kimya kwa muda wa miaka 9, Leo natangaza kurejea tena JF.
2026 - 9 = 2017Miaka 9 how?
Huko ulipo ni 2027 sio?
Inategemea umeazia wapi kuhesabu.2026 - 9 = 2017
Amejoin 2018 sio 20172026 - 9 = 2017
Jamaa ana vibe!Miaka 9 how?
Huko ulipo ni 2027 sio?
NAELEWAAmejoin 2018 sio 2017
Nainga mkono hojaSio umerejea, ulikuwepo sana tu kwa akaunti nyingine. Sema hiyo akaunti yako nyingine imedharaulika sana hapa ndio ukaona uifufue ya zamani.
😂😂😂 kudadeki nimecheka!!Sio umerejea, ulikuwepo sana tu kwa akaunti nyingine. Sema hiyo akaunti yako nyingine imedharaulika sana hapa ndio ukaona uifufue ya zamani.
Hatari sana....Wakuu, heshima yenu. Baada ya kukaa kimya kwa muda wa miaka 9, Leo natangaza kurejea tena JF.