technology

  1. Elon Musk hufuatiliwa na Walinzi wake kila akiingia ofisi za Twitter, hata akiingia Chooni

    Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter aliyezungumza na BBC kwa sharti la kutotajwa, amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na Walinzi 2 kila anapofika #TwitterHQ. Mfanyakazi huyo amesema #ElonMusk ameonesha kuwa na hofu juu ya...
  2. M

    DOKEZO Afisa Mikopo Chuo cha Mbeya University of Science and Technology (MUST) wapeni vijana stahiki yao (boom)

    Habari wakuu, poleni na mjukumu, Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu. Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia baadhi wanafunzi wa mwaka wa kwanza pesa ya kujikimu (boom), pesa ambayo watoto wamesign mwezi wa...
  3. Je, umeshajua umuhimu wa processor kwenye simu yako na processor ipi ni bora zaidi?

    Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako. Hiki ni Kichakataji chenye kasi zaidi kwenye simu na ni sehemu muhimu sana. Katika simu yako...
  4. INAUZWA Lenovo Buds HT05

    🔸LENOVO BUDS HT05 🔸8 Hours playing time 🔸Zinakuja na Usb C yake ya kuchajia 🔸Bei 48,000 Tsh 🔸0693225605
  5. L

    Hivi kampuni za kubeti wanatumia teknolojia gani ili wasifilisike?

    Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
  6. Technology: Mifuko ya uzazi bandia inayotengeneza watoto, wanawake hawatabeba tena mimba. Wazazi kuchagua jinsia,rangi,akili urefu wa watoto?

    Mwanateknolojia wa kibaolojia na mtayarishaji wa Filamu Hashem Al-Ghaili anatupeleka kwenye ziara isiyotulia lakini ya kuvutia ndani ya EctoLife - kituo cha kwanza cha uzazi wa mpango EctoLife ni teknolojia itakayowapa wazazi wa siku za usoni njia mbadala inayodhaniwa kuwa salama zaidi ya...
  7. Msaada: Chuo Kikuu Mbeya (MUST) kinatoa kozi ya Bachelor of Medical Laboratory Science & Technology

    Habari zenu wakuu, Poleni na majukumu, Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF. Huyu dogo kasoma diploma ya Medical laboratory, na mwaka huu kaomba mkopo elimu ya juu akaendelee, chuo alichoomba ikawa ni...
  8. W

    Technology

    Nataka ninunue HP pc yenye hivo vigezo mnanishaurije wadau ipo updated au ni local?
  9. W

    Kati ya AMD 8 na core i5 ipi bora?

    Kati ya computer yenye processor AMD A8 na core i 5 ipi bora?
  10. Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote. M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
  11. E

    Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  12. K

    Bachelor of science in business information technology UDSM-COICT.

    Kuna katoto ka dada yangu kamechaguliwa hiyo kozi udsm.ila naona kama ni kozi mpya hivi. Kwa wanaoifahamu hii kozi,wanipe abc zake please.
  13. P

    SoC02 How software technology should be leveraged in order to facilitate financial inclusion amongst small-scale farmers

    NAME: PATRICK CHRISTOPHER SAROTA AGE: 23 NATIONALITY: TANZANIA EDUCATION LEVEL: BSc. INTERNATIONAL ECONOMICS AND TRADE CITY: DAR ES SALAAM, TANZANIA MOBILE NUMBER: 0685678650 EMAIL: PATRICK.SAROTA@GMAIL.COM HOW SOFTWARE TECHNOLOGY SHOULD BE LEVERAGED IN ORDER TO FACILITATE FINANCIAL INCLUSION...
  14. Unafahamu kuwa Volkswagen walitengeneza technology ya kujitengenezea kahawa ndani ya gari?

    Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili. Hii technology ilikufa walipoweza kuweka heater kwenye magari.
  15. Kenya2022 Three employees of company providing IEBC election technology arrested at JKIA

    Three employees of Smartmatic International B.V, the company procured by the electoral commission IEBC, to provide technology for the August 9th General Election were arrested on Thursday at Jomo Kenyatta International Airport. IEBC Chairman Wafula Chebukati confirmed the arrest which he termed...
  16. Information Communication & Technology Officer at World Vision

    Information Communication & Technology Officer Kigoma, Tanzania, United Republic Of With over 70 years of experience, our focus is on helping the most vulnerable children overcome poverty and experience fullness of life. We help children of all backgrounds, even in the most dangerous places...
  17. Tanzania tutumie ujasusi kuiba teknolojia, hakuna atakayetupatia teknolojia

    Salama wandugu, Kwa matokeo haya ya form six na hasa zile shule za vipaji maalumu kufanya vizuri, Je Serikali inawatumiaje kwa sababu kuna wengi wanaishia kwenda nje na kusoma na kuishia kufanya kazi kwenye makampuni nje Kama yule mtanzania ambaye yupo kampuni ya Boeing Marekani. Watanzania...
  18. Information Technology Intern at WiA Company Limited

    Information Technology Intern Internship Dar es Salaam WiA Company Limited WIA is a System Integrator, leader specialized in providing Enterprise and government with innovative, reliable and cost effective ICT solutions. Job Description: We are looking for a competent Junior IT engineer...
  19. H

    Samaki waliosindikwa kisasa (Sanilado Universal Technology)

    Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania. Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba kusindikwa. Samaki Hawa huweza kaa siku nyingi pasi haribika Wala kupoteza Radha. Machine yetu huweza...
  20. Information Technology Intern at WiA Company Limited

    Job Overview Information Technology Intern Internship Dar es Salaam WiA Company Limited WIA is a System Integrator, leader specialized in providing Enterprise and government with innovative, reliable and cost effective ICT solutions. RECENT GRADUATE IT INTERN Job Description: We are looking...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…