technology

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kati ya AMD 8 na core i5 ipi bora?

    Kati ya computer yenye processor AMD A8 na core i 5 ipi bora?
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote. M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bachelor of science in business information technology UDSM-COICT.

    Kuna katoto ka dada yangu kamechaguliwa hiyo kozi udsm.ila naona kama ni kozi mpya hivi. Kwa wanaoifahamu hii kozi,wanipe abc zake please.
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 How software technology should be leveraged in order to facilitate financial inclusion amongst small-scale farmers

    NAME: PATRICK CHRISTOPHER SAROTA AGE: 23 NATIONALITY: TANZANIA EDUCATION LEVEL: BSc. INTERNATIONAL ECONOMICS AND TRADE CITY: DAR ES SALAAM, TANZANIA MOBILE NUMBER: 0685678650 EMAIL: PATRICK.SAROTA@GMAIL.COM HOW SOFTWARE TECHNOLOGY SHOULD BE LEVERAGED IN ORDER TO FACILITATE FINANCIAL INCLUSION...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa Volkswagen walitengeneza technology ya kujitengenezea kahawa ndani ya gari?

    Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili. Hii technology ilikufa walipoweza kuweka heater kwenye magari.
  7. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Three employees of company providing IEBC election technology arrested at JKIA

    Three employees of Smartmatic International B.V, the company procured by the electoral commission IEBC, to provide technology for the August 9th General Election were arrested on Thursday at Jomo Kenyatta International Airport. IEBC Chairman Wafula Chebukati confirmed the arrest which he termed...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Information Communication & Technology Officer at World Vision

    Information Communication & Technology Officer Kigoma, Tanzania, United Republic Of With over 70 years of experience, our focus is on helping the most vulnerable children overcome poverty and experience fullness of life. We help children of all backgrounds, even in the most dangerous places...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie ujasusi kuiba teknolojia, hakuna atakayetupatia teknolojia

    Salama wandugu, Kwa matokeo haya ya form six na hasa zile shule za vipaji maalumu kufanya vizuri, Je Serikali inawatumiaje kwa sababu kuna wengi wanaishia kwenda nje na kusoma na kuishia kufanya kazi kwenye makampuni nje Kama yule mtanzania ambaye yupo kampuni ya Boeing Marekani. Watanzania...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Information Technology Intern at WiA Company Limited

    Information Technology Intern Internship Dar es Salaam WiA Company Limited WIA is a System Integrator, leader specialized in providing Enterprise and government with innovative, reliable and cost effective ICT solutions. Job Description: We are looking for a competent Junior IT engineer...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Samaki waliosindikwa kisasa (Sanilado Universal Technology)

    Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania. Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba kusindikwa. Samaki Hawa huweza kaa siku nyingi pasi haribika Wala kupoteza Radha. Machine yetu huweza...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Information Technology Intern at WiA Company Limited

    Job Overview Information Technology Intern Internship Dar es Salaam WiA Company Limited WIA is a System Integrator, leader specialized in providing Enterprise and government with innovative, reliable and cost effective ICT solutions. RECENT GRADUATE IT INTERN Job Description: We are looking...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Legal Officer II at Tanzania Automotive Technology Centre (TATC-Nyumbu)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission Is to develop a reputable capacity for...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Technician II - 4 Posts at Tanzania Automotive Technology Centre (TATC-Nyumbu)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission Is to develop a reputable capacity for...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Artisan II - 4 Posts at Tanzania Automotive Technology Centre (TATC-Nyumbu)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission Is to develop a reputable capacity for...
  16. TechPlatform

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza Android App bure

    Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Technology

    Technobest iringa
  18. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Technology and business officer for a multi-stakeholder climate action plan in njombe - 1 position

    Project description The “Multi stakeholder climate action plan in Njombe” project is going to be implemented by SHIPO with the funding and support of GIZ and the German Ministry for the Environment, Nature Conservation and Nuclear safety, under the IKI Small grants program. The project will...
  19. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, nimesomea IT nina uzoefu wa kufanya mapambo

    Habari wapendwa . Rejea kichwa cha habari apo juu . Natafuta kazi ngazi ya Diploma Nina experience katika :- Computer application ì Computer troubleshooting. Simple LAN configuration. Retail POS ( vend and shopify) Cashier Salesman Marketing Balloon decoration ( husaidia kuongeza wateja na...
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania TRA mnasubiri Rais Samia awaambie mbadilishe teknolojia ya kadi za vyombo vya moto kuwa 'smart card' ndio mstuke?

    Kuna vitu vinatia kunyaa Tanzania viongozi wapo maofisini hawana ubunifu na hawaendi na wakati wapo wapo tu Likadi likubwa la A4 kama karatasi ya mtihani wakati siku hizi nchi nyingi wanatumia smart card 💳 tu na inabeba taarifa zote za gari Au mnasubiri hadi mama aje awaambie ndio mshtuke...
Back
Top Bottom