Elon Musk hufuatiliwa na Walinzi wake kila akiingia ofisi za Twitter, hata akiingia Chooni

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1678347890317.png

Kwa mujibu wa Mhandisi wa Twitter aliyezungumza na BBC kwa sharti la kutotajwa, amesema Mfanyabiashara huyo anayemiliki Kampuni za #SpaceX, #Tesla, Twitter, #Neuralink na #TheBoring hutembea na Walinzi 2 kila anapofika #TwitterHQ.

Mfanyakazi huyo amesema #ElonMusk ameonesha kuwa na hofu juu ya Usalama wake na hana imani na Wafanyakazi wa #Twitter. Pia, Elon amekuwa akiwatumia Wahandisi wa Tesla katika kutathmini uwezo wa Wahandisi wa Twitter ili kubaini wanaopaswa kufukuzwa kazi.

Mbali na Elon kuwa na Walinzi kila mahali, Business Insider wameripoti kuwa #MarkZuckerberg, Bosi wa #META inayoendesha mitandao ya #Facebook, #WhatsApp na #Instagram ametengewa bajeti ya Tsh. Bilioni 32.7 kwa mwaka 2023 kwaajili ya Ulinzi wake na familia yake.

===============

Elon Musk is accompanied around Twitter's headquarters by at least two bodyguards who even follow him to the restroom, an engineer at the social-media company has told the BBC.

The engineer, who spoke to the BBC on condition of anonymity to protect their employment, said the bodyguards were "bulky" and "tall" and like they're from a "Hollywood movie."

It's not uncommon for high-flying executives and CEOs to be accompanied by bodyguards, or for companies to spend considerable amounts of money providing them with security details.

The engineer said he thought that Musk's use of bodyguards inside Twitter's HQ in San Francisco, suggested a lack of trust in the company's employees, per the BBC report published Sunday.

Twitter didn't immediately respond to Insider's request for comment, made outside US business hours.

Musk's father, Errol,said in January that he feared for his son's safety even though he was protected by "100 security guards." Musk had upgraded Errol's security system for his South Africa home with 24-hour armed guards, cameras, and electric fencing, Errol said.

Mark Zuckerberg, CEO of Meta, was handed an annual personal security allowance of $14 million for 2023, according to a recent disclosure with the US Securities and Exchange Commission. This covers staff, equipment, and residential improvements to help keep Zuckerberg and his family safe, according to the filing.

Shortly after acquiring Twitter in October, Musk laid off thousands of the company's employees as part of a broad cost-cutting drive.

He tweeted in May that owning Twitter "probably won't increase my life expectancy." He was responding to a Twitter user who said that Musk should "add more security guards to your team."

Musk's security detail came into the spotlight in December after Musk said a "crazy stalker" jumped on a car carrying his son in Los Angeles. The South Pasadena Police Department later said it believed the suspect in the case "to be a member of Elon Musk's security team."

BUSINESS INSIDER/BBC
 
More money more problems. Ukiwa celebrity na ukawa tajiri sometimes raha sometimes shida hasa mbele.

Kuna muda unatamani kwenda normal places like normal people lakini huwezi watu wakikuona wanaanza pagawa wengine wanataka picha, wengine uwasainie, wengine kelele basi hata lengo lako halitimii.
 
Shida haibagui! Maskini au tajari, uwe kijijini au mjini, uwe maarufu au hohehahe, uwe mwenye nguvu au mnyonge, nk; taabu au dhiki haiepukiki.
 
More money more problems. Ukiwa celebrity na ukawa tajiri sometimes raha sometimes shida hasa mbele.

Kuna muda unatamani kwenda normal places like normal people lakini huwezi watu wakikuona wanaanza pagawa wengine wanataka picha, wengine uwasainie, wengine kelele basi hata lengo lako halitimii.
Cristiano Ronaldo once said that!!!! hadi aliongea akilia na kudai kwamba anatamani aangekua mtu wa kawaida na sio celebrity....
 
mkuu nimekucheki pm.
 
Cristiano Ronaldo once said that!!!! hadi aliongea akilia na kudai kwamba anatamani aangekua mtu wa kawaida na sio celebrity....

Interview yake ya kwanza na piers Morgan alimtembelea akiwa kwake italy nafikiri kipindi yuko juve aliongea kwa hisia sana Cr7
 
Hata chooni? Sijui hata nimecheka nini? Majuzi kuna mtu alinifata private sms insta akidai yeye ni Elon musk, kuwa amependa picha yangu kuwa hiyo ni private account yake nilicheka kwa herufi kubwa nikamjibu

" this Elon Musk might be coming from Nigeria" akatuma emoj za kicheko hakunitafuta tena.
Embu fikilia mtu hata chooni anasindikizwa ati apate muda wa kumtext mtu insta? matapeli wana kazi ngumu.

Turudi kwenye mada, kama analindwa hadi chooni si hata chumbani kwake analindwa? sasa uhuru wa ku enjoy na mke wake uko wapi wajameni? Raha ya chooni uende na simu yako uchatiiiii embu nambie mijitu ipo mlangoni ile starehe ya chooni inakuja kweli?
 
Huyo alokucheki ni Elon Maskini hata humu yupo😂😂
 
Back
Top Bottom