Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,327
8,243
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote.

M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7 kwa wiki.

M-Gas hukupa mtungi uliyojaa gesi, mita janja, jiko la gesi na kadi maalumu ili usilazimike kulipa bei ya juu ya kununua mtungi na jiko la gesi.

Hivyo unaweza kulipia gesi unapohitaji kwa kutumia mtandao inaweza kuwa M-PESA, Airtel-Money, Halo-Pesa au Tigo-Pesa . Unaweza kulipia kidogo kidogo kuanzia Tsh 1000 wakati ambao huna pesa ya kutosha.
mgas-cylinder.png

(i) Lipia Kwa Simu
wireless_icon.png

Mita janja ya M-Gas imeunganishwa na mtandao. Mara tu unapolipia akaunti yako ya M-Gas kwa kutumia M-Pesa au Tigo-Pesa, au Halo-Pesa au Airtel-Money, kiasi hicho husoma kwenye mita.

(ii) Teknolojia Ya Mita Janja
meter-icon.png

Huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu kukosa gesi au pesa. Mita janja hukuonyesha kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi wako na ni kiasi gani cha pesa ambacho umebakisha kwenye akaunti yako.

(iii) Ada Ya Mwanzo ni Bure
propane-icon.png

Unajua jinsi ilivyo ghali kununua mtungi wa gesi na jiko kwa pamoja. M-Gas hukupa jiko na mtungi kwa pamoja bure.

(iv) Lipia Gesi Kadiri Unavyotumia (Pay-As-You go)
Mita janja hukuruhusu kununua gesi kuanzia kiasi kidogo cha Shillingi Elfu Moja (TSh 1000) kwa kutumia mtandao. Unaweza kulipia kwa gesi unayohitaji leo tu.

(v) Furahia Upishi Safi na M-Gas
Places.png

M-Gas ni safi kuliko mafuta ya taa au mkaa au kuni; Ni nzuri kwa afya yako na wale uwapendao. Sasa unaweza kufurahia upishi rahisi na safi ukitumia M-Gas.

(vi) Huduma Ya M-Gas Inavyofanya kazi

(a) Unawekewa mtungi mpya wa gesi, mita janja na jiko nyumbani kwako.

(b) Tunahakikisha kuwa imewekwa vizuri na salama.

(c) Unalipia gesi unayohitaji kwa kutumia mtandao. Mita janja inakusaidia kutoa gesi.

(d) Unaweza kufurahia kupika chakula chako bila harufu ya mafuta ya taa au mkaa au kuni.

(e) Gesi inapokaribia kwisha kwenye mtungi, mita janja itatuma taarifa kwenye kampuni. Tutapanga ratiba ya kuja kukubadirishia mtungi uliojaa gesi bure kabisa.

how-it-works.jpg
Karibuni M-Gas ufurahie upishi wako kwa kiasi chochote cha pesa ulichonacho.

Kwasasa M-Gas tunatoa huduma mkoa wa Dar Es Salaam tu.

Kumbuka:
Tunakupatia mtungi na mita janja bure, jiko la plate mbili kwa Elfu 30 (30,000 Tsh), na gesi ya kuanzia ya elfu 5 (5000 Tsh) au elfu 15 (15,000 Tsh). Ni uchaguzi wako tu.

Hivyo kufungiwa mfumo kwa jiko lako mwenyewe unalipia elfu 20 (20,000 Tsh) tu kama kianzio. Ila ukihitaji na jiko letu unalipia elfu 40 (40,000 Tsh) kama kianzio.

Kwa mawasiliano zaidi na ushauri jinsi ya kutumia M-Gas: 0747744895

IMG-20221002-WA0000(1).jpg

Kama unahitaji msaada wa kuandika na kuhariri documents zako mbalimbali, tunayo habari njema kwako!

Bright and Genius Editors wapo hapa kukusaidia.
Tunatoa huduma za uandishi na uhariri wa documents za aina zote.

Wasiliana nasi kwa njia yoyote upendayo:

Piga/WhatsApp : +255687746471/+255612607426
WeChat ID: bandg_editors
Barua pepe: bandg.editors@gmail.com/submit@bgeditors.com/contact@bgeditors.com

Pia, unaweza kutembelea tovuti yetu www.bgeditors.com, Bright & Genius Editors kujifunza zaidi kuhusu huduma zetu na kufanya maombi yako moja kwa moja kutoka kwenye tovuti yetu.
 
Nilivutiwa na maelezo yenu kwenye branch yenu ya Kigamboni hadi nikaamua Kujisajili ili nipate but niliamua kucancel kutokana na uongo wenu. Mteja unamhakikishia kuwa unampelekea siku hiyohiyo,anaacha mambo yake anakusubiri then haupokei cm. After 2 weeks ndo mnanitafuta!! Nikawaona mna porojo tu.
 
Pole sana kwa usumbufu ulio upata. Wakati mwingine tunakua na wateja wengi boss. Ndio sababu unaweza kuona baadhi ya matechnician wetu wanaweza kuchelewa kukufungia mfumo. Lakini M-Gas tunatoa huduma ya uhakika. Na hatupokei pesa ya mtu kabla ya kumfungia mfumo.
 
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi.

M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7 kwa wiki.

M-Gas hukupa mtungi uliyojaa gesi, mita janja, jiko la gesi na kadi maalumu ili usilazimike kulipa bei ya juu ya kununua mtungi na jiko la gesi.

Hivyo unaweza kulipia gesi unapohitaji kwa kutumia M-PESA. Unaweza kulipa kwa kiasi kidogo wakati huna pesa.
View attachment 2372479

(i) Lipia Kwa Simu View attachment 2372471
Mita janja ya M-Gas imeunganishwa na M-Pesa. Mara tu unapoweka akaunti yako ya M-Gas kwa kutumia M-Pesa, kiasi hicho husoma kwenye mita.

(ii) Teknolojia Ya Mita Janja View attachment 2372473
Huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu kukosa gesi au pesa. Mita janja hukuonyesha kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi wako na ni kiasi gani cha pesa ambacho umebakisha kwenye akaunti yako.

(iii) Ada Ya Mwanzo ni Bure View attachment 2372475
Unajua jinsi ilivyo ghali kununua mtungi wa gesi na jiko kwa pamoja. M-Gas hukupa jiko na mtungi kwa pamoja bure.

(iv) Lipia Gesi Kadiri Unavyotumia (Pay-As-You go)
Mita janja hukuruhusu kununua gesi kuanzia kiasi kidogo cha Shillingi Elfu Moja (TSh 1000) kwa kutumia M-Pesa. Unaweza kulipa tu kwa gesi unayohitaji leo.

(v) Furahia Upishi Safi na M-Gas View attachment 2372477
M-Gas ni safi kuliko mafuta ya taa au mkaa au kuni; Ni nzuri kwa afya yako na wale uwapendao. Sasa unaweza kufurahia upishi rahisi na safi ukitumia M-Gas.

(vi) Huduma Ya M-Gas Inavyofanya kazi

(a) Unawekewa mtungi mpya wa gesi, mita janja na jiko nyumbani kwako.

(b) Tunahakikisha kuwa imewekwa vizuri na salama.

(c) Unalipia gesi unayohitaji kwa kutumia M-PESA. Mita janja inakusaidia kutoa gesi.

(d) Unaweza kufurahia kupika chakula chako bila harufu ya mafuta ya taa au mkaa au kuni.

(e) Gesi inapokaribia kwisha kwenye mtungi, mita janja itatuma taarifa kwenye kampuni. Tutapanga ratiba ya kuja kukubadirishia mtungi uliojaa gesi bure kabisa.
View attachment 2372474
Karibuni M-Gas ufurahie upishi wako kwa kiasi chochote cha pesa ulichonacho.

Kwasasa M-Gas tunatoa huduma mkoa wa Dar Es Salaam tu.

Kwa mawasiliano zaidi na ushauri jinsi ya kutumia M-Gas: 0747744895
Habari!
Tuma tena Picha na za Gharama, maana hatuoni kitu zaidi ya picha ya kwanza na ya mwisho
 
Back
Top Bottom