kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,504
- 4,354
Kuna katoto ka dada yangu kamechaguliwa hiyo kozi udsm.ila naona kama ni kozi mpya hivi.
Kwa wanaoifahamu hii kozi,wanipe abc zake please.
Kwa wanaoifahamu hii kozi,wanipe abc zake please.