tbs

  1. mirindimo

    LATRA na TBS kuweni wazalendo jamani

    Kuna jambo tunalifanya tunaona kabisa hapa tutatesa wananchi , sasa Latra mnashindwa akabisa kuafikiana na hawa akina Uber na Bolts kisa tu sijui akina Paisha sijui Paa wamefanya fitna ili wakue? Japo huduma zao bado mbovu mno na nyie TBS hivi viwango vya ubora mnachaji pesa kubwa sana kwa...
  2. Extrovert

    Utaratibu wa kupata nyaraka za TBS ili kutuma mzigo nje ya nchi upoje?

    Nina vitu nataka nitume kwenda mamtoni kwa ndugu yangu mmoja ila sasa nimeshangazwa na story za yule mtu wa posta kuniambia natakiwa niwe na document za TBS kwa baadhi ya vitu. Kwa mtu mzoefu je, huu utaratibu upogo kweli au ndio mtumishi anataka kula kwa urefu wa kamba yake kupitia mimi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Hapa sampuli za maji ya mto Mara zipelekwe baadhi TBS, GCLA, NEMC, SGS, Intertek na zingine kwenye maabara za vyuo zikapimwe upya

    Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya. Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
  4. Miss Zomboko

    TBS watoa tahadhari kwa Wafanyabiashara wanaoanika vyakula juani

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewatahadharisha wafanyabiashara bidhaa za chakula zilizofungashwa yakiwemo mafuta ya kula kuweka ama kuanika kwenye jua kwani kunaweza kuleta madhara makubwa ya kiafya kwa binadamu. Ameyasema hayo leo Afisa Uthibiti ubora TBS, Bw. Baraka Mbajije wakati...
  5. F

    Kwanini mikate mingi ina mchanga siku hizi?

    Wakuu habarini za usiku, Ni muda nimekuwa mtumiaji mzuri wa mkate katika kifungua kinywa cha asubuhi, lakini nime-kutana na changamoto ya kitafunwa hichi kuwa na chembe chembe za michanga ndani yake. Nimejaribu kubadili brand mbali mbali lakini naona hali ni ile ile. Je, hali hii inasabishwa...
  6. K

    Ninaiomba TBS isimamie ubora wa vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya wachina hapa nchini

    Wananchi wengi kwa sasa wanatumia vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya Wachina hapa nchini lakini jinsi inavyoonekana vigae hivi havina ubora unaohitajika na havidumu kwa muda mrefu tofauti na vigae vinavyotoka Spain, Uturuki na Italy. Ni vyema sasa Tanzania Bureau of Standards(TBS)...
  7. Analogia Malenga

    Kilimanjaro: Pombe ya Simba yatajwa kusababisha vijana kuvimba mashavu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amekifungia kiwanda kinachozalisha pombe aina ya simba kampuni ya Turn Bus Investment, kutokana na kuzalisha pombe zenye kiwango kikubwa cha asidi na kwamba hakifai kwa matumizi ya binanadamu. Mbali na kufungia kiwanda hicho ameliagiza Shirika la...
  8. Analogia Malenga

    TBS: Wanaoongeza maji kwenye maziwa waonywa, kufanya hivyo ni kinyume cha sheria

    KAIMU Mkuu wa Kitengo Cha Uthibiti Ubora wa Shirika la Viwango nchini (TBS) Baraka Mbajige amewaonya wafugaji na wauzaji wa maziwa kuacha tabia ya kuweka maji kwa sababu ni kinyume cha sheria. Alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na TBS kwa wafugaji wa Wilaya ya...
  9. J

    TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto

    TBS yatoa mafunzo ya sumukuvu kwa wadau wa mazao ya mahindi na karanga wilayani Kiteto Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) imeanza rasmi kutoa mafunzo kupitia Mradi wa Kitaifa wa Kudhibiti Sumukuvu "Tanzania Initiative for Preventing Aflatoxin Contamination -...
  10. and 998 others

    TBS Bandarini kichaka cha upigaji

    Ukaguzi wa magari (imported) Sasa unafanyika nchini tofauti na mwanzoni. Sasa Hawa ndugu zetu wameamua kucheza na beat ili kuvuna. Inspection tests (report) zinaandikwa"FAIL" ili ujiongeze, ukijidai Nunda utajuta kuwafahamu. Asanteni, ila mtafika mkiwa mmechoka sana
  11. J

    TBS: Warsha ya Wadau wa vipuri na karakana za kuunda na kutengeneza magari

    TBS: WARSHA YA WADAU WA VIPURI NA KARAKANA ZA KUUNDA NA KUTENGENEZA MAGARI Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Y. Ngenya amefungua warsha kwa wadau wa Vipuri vya Magari na wamiliki wa karakana za kuunda na kutengeneza Magari. Warsha hiyo inafanyika hii leo Tarehe 4...
  12. F

    Nini Jukumu la Mkemia Mkuu, TMDA na TBS katika kuhakiki ubora wa mafuta, vitambaa, keki na maji ya upako?

    Katika Huduma za Kiroho mbalimbali ndani na nje ya nchi kumekuwa na shuhuda za hadharani kabisa kuhusiana na matumizi ya bidhaa za upako kama mafuta, maji, vitambaa, bangili, keki nk. Nyingi za shuhuda hizi zimekiri nguvu iliyomo ndani ya bidhaa hizi ikiwemo nguvu ya kufisha baadhi ya...
  13. K

    Shirika la Viwango Tanzania(TBS) halina uhalali wa kuwepo, majukumu yamewashinda

    Shirika la viwango la Taifa limepewa hukumu la kudhibiti ubora wa bidhaa ziingiazo na zizalishwazo nchini. Lakini kwa muda mrefu ubora wa bidhaa umekuwa ikilalamikiwa na watumiaji. Nitoe mifano ya vifaa vichache. Charger za simu na vifaa vya umeme ni balaa. Unatumia masaa 12 simu haijajaa...
  14. Analogia Malenga

    TBS: Juisi ya Ceres yenye sumu haijaingia nchini

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo TBS walichukua hatua ya...
  15. Hismastersvoice

    TBS na TFDA okoeni maisha yetu kwa kupima ubora wa unga wa mahindi na muhogo unaosagwa mitaani

    Miaka ya hivi karibuni kumezuka viwanda vingi sana mitaani vinavyosaga unga wa mahindi na muhogo, ubora wa unga huo u atia mashaka kwani viwanda husika haviko kwenye usafi unaoridhisha. Kiwanda ambacho hakiko kwenye usafi hata ubora wa unga wake utatia shaka, ni wazi viwanda hivyo vina mashine...
  16. J

    TBS yaendelea kutoa elimu kwa viwango vya ubora wa bidhaa wilayani Lushoto, mkoani Tanga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji. Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
  17. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yapania kuongeza thamani ya ubora wa viwango vya korosho na bidhaa zitokanazo na korosho wilayani Nachingwea

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) YAPANIA KUONGEZA THAMANI YA UBORA WA VIWANGO VYA KOROSHO NA BIDHAA ZITOKANAZO NA KOROSHO WILAYANI NACHINGWEA Na Mwandishi wetu Nachingwea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 16 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji na...
  18. nguvusimba

    TBS na ubora wa vyakula

    Ni takribani miaka miwili sasa tangu serikali ya Tanzania kupitia bunge letu tukufu walipoamua kuliongezea majukumu zaidi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kusimamia ubora na usalama wa vyakula. Awali, jukumu la usimamizi wa ubora na usalama wa chakula lilikuwa linafanywa na iliyokuwa mamlaka...
  19. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
  20. J

    TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali wa bidhaa za korosho (wasindikaji na wafungashaji) - Mkoani Lindi

    TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
Back
Top Bottom