TBS ingilieni hili kupima ubora wa Oil inayozalishwa na hii kampuni

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Kazi ya TBS ni kukagua bidhaa mbali mbali kama ziko salama kwa watumiaji.

Nashauri pia mpime vilainisho vya magari yaani oil maana hapo Dar kuna kampuni fulani ya wahindi wanatengeneza oil za magari lakini kuna kipimo kimoja kinaitwa TBN kinatoa jibu la sifuri.

TBN au Total Base Number ni additive inayoongezwa kwenye base oil ili kupunguza athari za acid ili engine isi knock.

Kuna watumiaji wa vyombo vya moto engine zao zime knock kutokana na hii Oil.

Nawaomba TBS fuatilieni oil za makampuni mbalimbali kuweka mambo sawa.
 
Watumie e mail au barua ukitaje hiyo oil ili kuwapunguzia kazi ya kupima oil zote sokoni.
 
Kazi ya TBS ni kukagua bidhaa mbali mbali kama ziko salama kwa watumiaji.

Nashauri pia mpime vilainisho vya magari yaani oil maana hapo Dar kuna kampuni fulani ya wahindi wanatengeneza oil za magari lakini kuna kipimo kimoja kinaitwa TBN kinatoa jibu la sifuri.

TBN au Total Base Number ni additive inayoongezwa kwenye base oil ili kupunguza athari za acid ili engine isi knock.

Kuna watumiaji wa vyombo vya moto engine zao zime knock kutokana na hii Oil.

Nawaomba TBS fuatilieni oil za makampuni mbalimbali kuweka mambo sawa.
Asidi haziwezi kusababisha injini kunoki mkuu. Bali asidi zinasababisha injini kukorodi. Nokingi inatokea kwenye kombasheni chembaa ya injini endapo kama mafuta ya petroli yana oktane namba kidogo.

Kipimo cha TBN kwenye mafuta ya injini hupima kiwango cha bezi kilichopo kwenye mafuta ya injini kwaajili ya kuzinyutrolaizi asidi ambazo zitatengenezwa wakati injini inachoma mafuta yenye elementi za asidi mfano (mafuta yenye salfa).

Kwa hiyo kama TBN ya hayo mafuta ni zero, tunategemea injini zenu kukorodi na sio kunoki.

Kunoki ni issue ya oktane namba. Kama injini zenu zimenoki jaribuni kuangalia mafuta ya petroli mliyotumia, labda ndio yatakua yamesababisha.

Labda petroli mliyotumia itakua na oktane namba kidogo. Nendeni mkapime oktane namba ya petroli mliyotumia.

Kama gari zenu zinatumia dizeli basi zitakua nisababu zingine.

Mm sio TBS, ni mwanajamii forum.
 
Nimekupata mkuu yote uliyoeleza ni ya kweli mkuu najua kuna octane namba na cetane number kwenye petrol na diesel engines.Ila nimeona nitumie lugha laini watu wanielewe.Ila engine za hayo magari zilileta shida sana ahsante mkuu kwa ufafanuzi.Kwa kawaida TBN inaanzia angalau 12mg/kg KOH sasa kadri oil inavyotumika inashuka chini kikawaida inatakiwa isishuke below 50% from the original value kwa hapo ni 6mg/Kg KOH. Sasa kwa hii oil unakuta TBN ni 0 ni hatari sana hii kitu ni sawa na mgonjwa anahitaji kutundikiwa drip lakini ndani yake kuwekwe dawa sasa ukutE ni drip ametundikiwa ni maji tu hakuna dawa
 
Binafsi huwa naweka oil ya Oryx Excella katika pikipiki yangu, ni baada ya kusoma na kuona hii oil inatengenezwa na kampuni ya wazungu kutoka Switzerland. Hata kama huwa wanatupiga, ila angalau wazungu huwa wana chembechembe za usiriasi katika kutengeneza vitu.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ungetaja jina ungepungukiwa nini.??

Umuhimu wa kutaja jina ni kwamba utatusaidia na wengine siku tukinunua hata pikipiki tuepuke hiyo kampuni..
 
Nahisi atakuwa anawasema lake oil wana oil yao ya engine huwa siielewi elewi. Mm kwenye baby walker yangu natumia Total kwenye engine na Toyota ATF type 4 kwenye gearbox bei imesimama ila sina namna. Gari unawasha Dar mpk Songea bila kuzima wala kupumzika popote na ngoma inakwenda bila shida performance ya hatari
 
Back
Top Bottom