Shirika la viwango la Taifa limepewa hukumu la kudhibiti ubora wa bidhaa ziingiazo na zizalishwazo nchini.
Lakini kwa muda mrefu ubora wa bidhaa umekuwa ikilalamikiwa na watumiaji.
Nitoe mifano ya vifaa vichache.
Charger za simu na vifaa vya umeme ni balaa. Unatumia masaa 12 simu haijajaa. Mabati na misumari, na nondo.
Gauge hazifuatwi. Bati gauge 30 zinawekwa mhuri wa gauge 28.
Misumari inatengenezwa myembamba na laini, mafundi ni kuponda vidole kwa kupinda.
Nondo hazifiki unene na urefu unaotajwa na muuzaji. Ni wakati mwafaka kwa shirika hili kufutwa.