tbs

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaosemekana kufukuzwa kazi TBS iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine

    Hawa vijana iwe chachu ya kuigwa kwa vijana wengine. Vijana Hawa wanaosemekana kufukuzwa wana kampuni yao ya CALIBRATIONS, TESTING pamoja na Automations watu tuliopo kwenye constructions industry tunawaona sana. Na bahati nzurii kampuni yao ipo accredited inaruhusiwa kufanya kazi nchi yeyote...
  2. Anonymous

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uozo: TBS imepoteza hadhi ya kuwa chombo cha kuratibu na kusimamia ubora nchini

    Kwa Kiswahili kinajulikana kama CHOMBO CHA KUSIMAMIA UBORA TANZANIA (TBS) Jina zuri lakini la kizungu.. Sio tatizo sana Jengo zuri la viwango Mazingira mazuri ya Kazi Vitendea Kazi bora Maslahi, marvellous na mishahara yakuvutia LAKINI Watendaji wake ni waovu, wanuka rushwa wasio na chembe ya...
  3. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bidhaa chini ya viwango mtaani, TBS kunani?

    Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
  4. V

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vipodozi vilivyopigwa marufuku vinauzwa kama njugu Matu-Kitetoi, serikali iingilie kati

    Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu ambae anajieta Jina la hivyo Vipodozi anauza hadharani hivyo Vipodozi ambavyo vimepigwa Marufuku na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS inafanya kazi gani kama Wafanyabiashara wanaingiza 'Bidhaa Fake' na kutangaza waziwazi, iPhone 15 Tsh. 380,000?

    Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza Bidhaa Feki kila mahali na wanauza kwa uhuru kabisa. Imagine mtu anatangaza kabisa iPhone 15 Pro ni Tsh...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiwango gani TBS iko makini kuhakikisha Wananchi wako salama?

    Huwa kuna vita ya kiuchumi, Huwa kuna makosa ya kiufundi Wananchi tunatumia bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi na uwezo wa ku control kila kitu ni mdogo. Je hatuoni haja ya TBS kuwa taasisi imara na yenye kila resources ili waweze kufungua ofisi sehemu mbali mbali nchini na hivyo...
  7. winky

    JamiiForums Tanzania TBS na TFDA zimeshindwa kuwajibika ipasavyo na kuwaumiza Watanzania

    Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana. TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania Nani Karuhusu Waturuki kufanya umachinga wa kukopesha vyombo vya umeme mitaani? TBS na FCC mnayajua haya?

    Wana JF. Si kwa nia mbaya maana waturuki wametoa ajira lakini kuna haya. Waturuki wamekuwa wakizunguka mitaani na bajaji wakikopesha vyombo mbali mbali. Msala wangu kwao ni kwamba, nani ametoa kibali cha ukaguzi wa vyombo vyao vya umeme? Kama kuna mtu wa TBS na FCC inabidi kwa pamoja...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Hussein Bashe ambaye ni Waziri wa Kilimo alieleza kuwa waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kwani Tanzania ina hazina ya mchele. Hata hivyo, muda si mrefu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha. Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka...
  11. R

    JamiiForums Tanzania M - Gas biashara imewashinda. TBS futieni leseni hawa wapuuzi

    Kama kichwa kinavyojieleza. Wiki ya 3 inakwenda mteja nafanya kubembeleza mfanyabiashara. Natumia gesi ya hawa wapuuzi baada ya kushawishiwa na sijui wakala wao baada ya kutuunga kwenye group watu wengi. Nikauliza group la nini ndio kujua habari za M gas. Kazi iko hapa > betri imeisha, mtungi...
  12. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Njiti za kiberiti kutoka Tanzania, TBS wapo kweli?

    Hizi ni njiti za kiberiti Tanzania na TBS wapo! Hii ndio bidhaa ya Tanzania, sitotaja brand ila hizo ni njiti zinazozalishwa Tanzania. Hata kabla ya kuiwasha imeshajikunja, hata kwenye kuiwasha lazima ukaze mkono isijipinde na kuwaka ni kimbembe! Tanzania kushindana na mataifa mengine kwenye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tunawauliza TBS kama Sukari iliyotoka nje ya nchi imepimwa ubora wake

    Wananchi tunatakiwa tulinde afya zetu na siku za karibuni Serikali iliingiza sukari toka nje ya nchi ili kufidia upungufu uliopo. Kama ilivyo kawaida kwanza sukari hii ilitakiwa IPIMWE ili kuona kama inakidhi matumizi ya wananchi. Jana nilinunua sukari kilo nne kwa kificho kwa Tshs.4,000 kila...
  14. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS na FCC wapo kweli Tanzania?

    Hivi TBS wapo kweli Tanzania? Maana sio kwa ujinga huu niliokutana nao, yaani nimeenda dukani nikaagiza nipewe kipande cha sabuni cha white wash cha tsh 700 nikapewa bila kuangalia vizuri kufika ghetto nikakifungua na kuanza kufua baada ya kuitumia kama nusu saa sioni povu lolote wala...
  15. Shagiguku

    JamiiForums Tanzania TBS na TMDA mikate ya maziwa ina ubora na viwango stahiki kuliwa na binadamu?

    Hello wananzengo wa Tanzania popote mlipo duniani. Nautupia huu uzi humu ili tuujadili kwa pamoja. Kumeibuka wimbi la "Mikate ya Maziwa" hapa nchini. Kila sehemu ipo inauzwa. Maswali yangu machache kwa mamlaka za udhibiti ubora (TMDA na TBS) ni haya: 1. Je, tuna taarifa za kutosha juu ya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania TBS ni wahujumu uchumi

    Shirika la viwango Tanzania lina jukumu kubwa la kusimamia viwango vya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje. Ajabu ni kwamba Soko la bidhaa mbalimbali kutoka nje limefurika bidha zisizokIdhi viwango, fake. Bidhaa nyingi kutoka China, hasa vifaa vya ujenzi na...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Watakiwa Kuhakikisha Bidhaa Zinakaguliwa na TBS Kabla ya Matumizi

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda vya ndani kuhakikisha bidhaa zinakaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania(TBS) kabla ya matumizi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa viwanda vya bati Tanzania na paa za nyumba zenye bati mijini kuwa na kutu ni Udhaifu mkubwa uliopo TBS

    Miji mingi Tanzania inakabiliwa na kupoteza ubora,nyumba nyingi zinaonekana kuchakaa hususani paa za nyumba nyingi kuonekana kuwa na kutu. Yawezekana ni bati kutokuwa na bati nyingi kukosa ubora licha ya hapa nchini Kuna taasisi ya umma inayoshughulika na ubora wa bidhaa. Utitiri wa viwanda vya...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Editor II (2 Post) at TBS

    Position: Editor II – 2 Post Employer: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Duties and Responsibilities i. To edit manuscripts; ii. To edit website contents; iii. To proof read manuscripts; and iv. To perform any other duties as may be assigned by the Head of Section. Qualification and...
Back
Top Bottom