Vipi zile nafasi za Internship TBS walishaita watu?

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
8,895
23,210
Habari,

Ilikuwa 21 April TBS walitoa tangazo la internship kwa nafasi mbalimbali.

Vipi walishaita vijana kwa ajili ya usaili na kuanza kazi?

Nimeingia kwenye website yao sijaona tangazo lolote, ni bado mchakato au watu wamepigiwa simu direct?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom