To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.
Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma.
Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto.
Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko...
Jana nimeangalia mechi kupitia TV ya Kenya nikajiuliza TBC wana mpango gani na nchi hii au wao ni kusifu tu wakienda mbali ni sabasaba. Viongozi TBC jipimeni kama mko kazini.
Wakati wa Utawala wa Magufuli ilikuwa ni kawaida kuyasikia TBC wakimtangaza Mtawala Muda wote Alipo na kutoisikia TBC ikitangaza habari na matukio ya vyama vya Upinzani Watanzania.
Hatukushangaa kwani amri ilikuwa ya Magufuli tu, leo tupo Awamu ya 6 bado TBC wanaendelea na Kutokutangaza Habari...
Habari wadau, leo TBC wapo Live kuonyesha game yao dhidi ya Bunge FC. Kwa kweli ndio maana hawaonyeshi mechi za timu ya taifa maana ni aibu, camera zao ni za kiwango cha chini sana. Vigumu kuwatambua wachezaji, picha ina uweusi, hata kugundua mpira Uko wapi ni changamoto.
Ni vyema kukubali kuwa...
Nimefurahi kuona TBC walivyofanya uamuzi wa kwenda Uganda kujifunza namna ya uandaaji wa vipindi vya TV na urushaji wa matangazo. Kongole kwao.
Kwa kweli ilifika mahali watanzania walio wengi hawapendi kuangalia televisheni za humu ndani kutokana na kukosa ubora wa vipindi, kukosa maudhui...
Dk. Ayub Chacha Rioba, Mkrugenzi Mtendaji wa TBC
Kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Tanzania, swali hapo juu linatokana na bonde la ufa lililopo kati ya yale ninayoyaona, na yale ninayoyatarajia kuhusiana na uendeshaji wa TBC. Kwa hiyo, kwa kuzingatia mfumo wa hoja yenye muundo wa OPHETAR...
Ukisikiliza au kutazama TBC wanakuambia wao ni moja ya mashirika Afrika yenye maktaba kubwa na kongwe zaidi na inawezekana ni kweli kwani ukibahatika kuwakuta wakiwa na mood nzuri huwa wanaonesha video za kale kuanzia harakati za viongozi kabla hata ya uhuru, makala nyingi sana zinazohusu siasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya
Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
Hili likifanyika litaondoa manung'uniko ya Wananchi kuhusiana na Mali hii ya Umma kutumika kama Chombo cha CCM.
Enzi za Chama kimoja kutumia rasilimali za Taifa kwa manufaa binafsi si tu kwamba zimekwisha, bali hali hiyo ikiachwa iendelee inaliaibisha Taifa zima na kufedhehesha demokrasia.
Jana tumeona TBC Taifa wametoa habari ya Usalama Kazini na kuwahoji vijana wanaofanya kazi barabara ya Mwenge hadi Morocco.
Vyombo vingine tulijulishwa na wafanyakazi fulani wiki iliyopita lakini baada ya kufuatilia tukakuta kuwa ni harakati za vurugu kupinga kupunguzwa kazi maana mradi ndio...
Habari wadau..!
Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba.
Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani, zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni.
Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa
Tukio liko mubashara TBC!
Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021).
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa...
KARUME DAY NA TBC
Leo nimetembelewa na TBC ili tufanye kipindi kuhusu Mzee Abeid Amani Karume.
Mtangazaji Bakari Msuya kaniuliza maswali mengi.
Nimemweleza Mzee Karume nikianza na uhusiano wake na watu wa Dar es Salaam katika miaka ya 1940s hasa na viongozi wa Young Africans Football Club...
Mambo vp ndugu zangu wa hapa jamiiforums.
Kwanza ninaomba kuanza kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya habari, vijana utamaduni na michezo pamoja na shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) kwa kuamua kuwa Wazalendo kwa vitendo zaidi na...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la viongozi wa kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa.
Je, huku si kukosa uzalendo?
Jana kwa nasibu nilibahatika kuangalia taaarifa ya habari ya TBC! Bila Shaka taariffa hiyo ilimpa nafassi kubwa Sana Marehemu,kuanzia historia Hadi utumishi ambao wao waliuita uliotukuka!
Ila Cha kusikitisha ni kuwa badala ya kumjadili Kijazi ,walikuwa wanamjadili JPM!
Kimsingi waandaji wa...
TBC leo imerusha kipindi maalumu cha kumuenzi aliyekuwa Msimamizi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Injinia Kamuhaba aliyefariki January 19 katika hospitali ya muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Injinia Kamuhaba alikuwa mwafrika wa kwanza nchini kusimamia mradi mkubwa wenye thamani ya zaidi...
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.