Maktaba ya TBC ipo kwa ajili ya manufaa ya nani?

Baba Heri

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
1,503
2,222
Ukisikiliza au kutazama TBC wanakuambia wao ni moja ya mashirika Afrika yenye maktaba kubwa na kongwe zaidi na inawezekana ni kweli kwani ukibahatika kuwakuta wakiwa na mood nzuri huwa wanaonesha video za kale kuanzia harakati za viongozi kabla hata ya uhuru, makala nyingi sana zinazohusu siasa, utamaduni n.k lakini mambo hayo huoneshwa kwa NADRA sana kwani muda mwingi matangazo yao hugubikwa na propaganda.

Majuzi nimesikiliza TBC taifa wamerusha mahojiano ya Jabali la Muziki Hayati Marijani Rajabu kwakweli niwapongeze kwani yalikuwa ya kuvutia na kuelimisha mno ila nadhani ingekuwa vizuri zaidi kama wangeweka records zao public either madukani au mitandaoni mfano YouTube n.k kwa manufaa ya wote wanaohitaji badala ya kutupa adhabu ya kuvizia hadi wanapopata mood ya kurusha hivyo vitu.

Asante.
 
WELL, WAZO ZURI
 
Nilisha wahi kushauri hili lakini halijafanikiwa mpaka sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom