tbc

To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

    Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi. Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge...
  2. Doctor Mama Amon

    Dhima ya TBC katika kazi ya elimu kwa umma: Mbona Festus Makerubi anatumia Roho Mtakatifu kulijingisha Taifa?

    Dr. Ayub Rioba, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC Katika kipindi cha Nyimbo Zetu kilichorushwa asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2020, kupitia luninga ya TBC, mtangazaji wa TBC, Festus Makerubi, amerudia mara nne maneno ambayo meseji yake ya msingi inawakilishwa na maneno...
  3. M

    GE2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
  4. B

    TBC kumhoji Mtumishi wa Tume bila kuruhusu Wananchi kupiga simu kumuuliza maswali ni ushamba

    Muda huu huyu Mtumishi yuko live, TBC hawataki kuruhusu simu kupigwa studio ili ajibu maswali waliyonayo Wananchi, ina maana gani kupiga porojo tu, nadhani kuna haja ya kuleta mabadiliko makubwa sana
  5. gimmy's

    TBC, kipindi cha Bongo Kama Ulaya mnarudia maudhui yaleyale kila siku

    Tunajua hiki kipindi cha Bongo Kama Ulaya kipo kwa ajili ya kukusanya kura tar 28 lakini kwa sasa hiki kipindi kinaboa. Kila siku madaraja ya juu na treni za mwendo kasi, sidhani kama mmejipanga vizuri. Habari inanoga kama huwezi kutabiri kabla ya kuiona/kuisikia lakini hiki kipindi kikifika...
  6. M

    TBC Inachangia kushusha kiwango cha uzalendo

    Imekuwa kawaida kwa TBC - ONE kufanya kazi ya "kusifu na kuabudu" mgombea fulani kati ya wengi waliopo kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi kiasi cha kukirihisha. Imekuwa ile ya Korea Kaskazini inayofanya "personality cult" kwa kumfanya kiongozi wa nchi kuwa ndiye "mungu" jambo ambalo halifai...
  7. Nkobe

    GE2020 TBC, hata kama Watanzania wanashindwa la kuwafanya lakini waonesheni heshima kidogo...

    Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM. Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea...
  8. Replica

    TBC imekosa usawa hadi kwa yanayoonekana dhahiri

    TBC wanayo matangazo kipindi hiki ambayo yanahamasisha watu kwenda kupiga kura. Matangazo haya yanakuwa na kipande cha mtu anaongea kuhamasiha wengine kwenda kupiga kura na ni matangazo yasiyofungamana na chama chochote. Sasa limekuja la 'Mhogo Mchungu' maarufu kwa uigizaji wa filamu. Tangazo...
  9. Jaji Mfawidhi

    TBC haipo hewani, Mafuriko ya leo yasababishwa izimwe

    TBC Tanzania Broadcast Corporation ambapo zamani ilijulikana kama TvT katika hali ya kustaabisha na kushangaza ulimwengu inasemekana haipo hewani na habari kutoka vyanzo ambavyo bado havija dhibitishwa ni kwamba Maji yameingia ndani ya studio na tangu asubuhi imekuwa ikifanika jitihada ya kuvuta...
  10. share

    GE2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima

    Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote. Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia...
  11. K

    GE2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

    Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa. CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama...
  12. The Palm Tree

    GE2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

    å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti. å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
  13. M

    Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

    TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa? Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
  14. J

    GE2020 TBC ni waungwana sana leo wameripoti mkutano wa kampeni wa CHADEMA kule Zanzibar

    Pamoja na kwamba walitimuliwa kwa aibu na mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe pale Mbagala na hatimaye Balile kumkutanisha Mbowe na MD wa TBC Ryoba na kuwaombea msamaha, TBC wameonyesha uzalendo. Leo wameripoti katika taarifa ya habari yaliyojiri katika mkutano wa Chadema pale Unguja. Hongereni TBC...
  15. M

    GE2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
  16. Analogia Malenga

    GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  17. mugah di matheo

    GE2020 TBC ni pasua kichwa na wala hawaaminiki, Wamechakachua matangazo mbashara ya NCCR na CHAUMMA

    Wameona Mbatia anatema cheche wamekata matangazo na kutupeleka kwa rungwe Hivi wataacha lini huu uhuni? Hakuna anaetaka kumsifia jiwe tena nchi hii Update Rungwe kwanza kuongelea juu ya ulafi wa serikali kutoza Jodi maiti wamekata na huko Hawa majamaa hawaaminiki kabisa I
  18. M

    GE2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

    Kila siku ipitayo kwa Mungu historia mpya ya nchi hii inaandikwa. Historia hii ina jambo la kijifunza ili kusaidia kujenga taifa kutokana na experience inayopata. Napenda kuchukua nafasi hii kama Mtanzania kuwasifu na kuwashukuru ITV kwa kutuandalia mahojiano muhimu sana na mazuri sana ya Mh...
  19. BAK

    Mzozo wa CHADEMA na TBC: Nitasema mimi kiazi, wewe muhogo una mzizi'!

    MZOZO WA CHADEMA NA TBC: 'NITASEMA MIMI KIAZI, WEWE MUHOGO UNA MZIZI'! Wiki iliyopita nilihudhuria Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Tundu Lissu katika Viwanja vya Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Kama kawaida yangu, nilitoa nasaha au...
  20. mkiluvya

    CHADEMA wakaziwa na Umoja wa Waandishi wa Habari Kanda ya Pwani

    Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah Say something!
Back
Top Bottom