Hivi sina imani au tatizo ni lipi?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Mimi ni kijana umri miaka 28 ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto 6, naishi Dar es Salaam, elimu yangu ya diploma zaidi ni jobless pia muumini wa dini ya kiislamu.

Kimsingi nimeandika uzi huu kutaka kujua situation ninayoipitia ipo based kwa ulimwengu mzima au mimi pekee!

Binafsi najiamini kuwa naniyo imani ya Mungu kubwa sababu nimekubali kuwa kila nalopitia ni mwenyezimungu ndiye anaepanga, ujue nimejitahidi sana kuendana na sheria zake kuzini sipendi na hata ikitokea najilaumu mnoo. Anasa sipendi kwenda club au miziki hovyo, muda mwingi nipo ndani labda nipate kibarua hua nakaa sana nje, bangi sijawahi kuvuta ila nadiriki nimejaribu kama mara 4 japo sioni stimu yake na pombe sijawahi wala sitafikiria.

Lakini maisha yangu bado ni kizungumkuti sana ila upande wa baadhi ya ndugu zangu kama 2 pesa wanapata japo sio kihivyo lakini najiona mwenye kudharauliwa kwa kuwa sina chochote, nimekubali kuwa hivyo lakini zaidi naonekana mzembe licha kujichanganya na watu wasio Levo yangu mfano nimeuza samaki, nimebeba michanga na kuchimba, kibarua fundi umeme japo kazi zote zinakuja kwa njia ngumu mno, ukweli kuna wakati najuta hata kuzaliwa kwenye familia niliyopo sababu wengi wa marafiki zangu wamefanikiwa why mimi au nimerogwa?

Yes,kwa mganga nimepita ila wanasema nanae kiumbe wa kizungu na kiarabu wote wanataka ufalme ndani yangu tangia hapo mawazo yangu ya kumuamini Mungu yanamushkeri japo kwa waganga sipendi kwenda tena coz Kila nikipata mitihani nasema kuwa wao majini ndiyo tatizo.

Ukweli ilifika wakati nilipokuwa chuo sikutaka kusoma sababu niliona sitafanikiwa na pia chuo nilipitia msoto wa nguvu ila nikalazimika kwenda kwa waganga kama 3 wakasema ninalo jini pia la uganga aiseee nilichokua yaani nina majini ya kiarabu (watabibu) pia ninayo majini ya kizungu (nahisi ni mwanamke) wote ninao hao sasa inakuwaje basi sina namna yeyote zaidi ya kuangalia yajayo.

Mwisho leo saa 12 asubuhi nimeota mjomba yangu ananiambia ujuwe wewe una uwezo mkubwa na mafanikio ndani yako ila tatizo wewe una kiumbe ambapo mpaka sasa anatusikia, pia hata mimi ananisikia navyosema zaidi wewe sio mstaarabu na hautaki kusikiliza akiongea wewe unapandisha sauti na hutaki kabisa kumsikiliza.

Binafsi naona huyu ni shetani na ananijaribu ila inafika wakati naona kama hakuna Mungu ila moyo unaniambia hapana Mungu yupo.

Msaada wenu ndugu zangu.

Diploma kupata kazi si kazi rahisi. Jichanganye, jilipue kwenye shughuli mbali mbali. Pia angalia urahisi wako, ni wapi, usijiumize sana kichwa. Upo dsm wewe bwana. Pambana tu.
 
Kwanza, Kusema kwamba kila unalopitia ni mipango ya Mungu hii Sikweli. Kuna baadhi ya mambo unayopitia either umeya sababisha mwenyewe kwa kujua ama kutokujua au kwa kufanya uchaguzi usio sahihi.

Pili, kwenda kwa Mganga aliyeshindwa kujipa utajiri yeye mwenyewe na anadai kutoa utajiri kwa wengine huo nao ni ujinga.Acha kuwa na imani za majini na waganga kwamba ndio chanzo cha kuto kufanikiwa kwako....

Jitathmini wapi ulikosea, wapi unakosea, na ufanye nini ili usi kosee tena...
 
tapatalk_-1632134681.jpg
 
Hizo imani zako ndio zinakupoteza

Ukweli mchungu hao waganga wamekupiga hela tu kwa kucheza na saikolojia yenu tu. Hakuna kitu kinachoitwa jini wala shetani .

Ili ufanikiwe inabidi ubadili mfumo wako wa kufikiri, na kutatua changamoto zinazokuzunguka.
 
Mimi ni kijana umri miaka 28 ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto 6, naishi Dar es Salaam, elimu yangu ya diploma zaidi ni jobless pia muumini wa dini ya kiislamu.

Kimsingi nimeandika uzi huu kutaka kujua situation ninayoipitia ipo based kwa ulimwengu mzima au mimi pekee!

Binafsi najiamini kuwa naniyo imani ya Mungu kubwa sababu nimekubali kuwa kila nalopitia ni mwenyezimungu ndiye anaepanga, ujue nimejitahidi sana kuendana na sheria zake kuzini sipendi na hata ikitokea najilaumu mnoo. Anasa sipendi kwenda club au miziki hovyo, muda mwingi nipo ndani labda nipate kibarua hua nakaa sana nje, bangi sijawahi kuvuta ila nadiriki nimejaribu kama mara 4 japo sioni stimu yake na pombe sijawahi wala sitafikiria.

Lakini maisha yangu bado ni kizungumkuti sana ila upande wa baadhi ya ndugu zangu kama 2 pesa wanapata japo sio kihivyo lakini najiona mwenye kudharauliwa kwa kuwa sina chochote, nimekubali kuwa hivyo lakini zaidi naonekana mzembe licha kujichanganya na watu wasio Levo yangu mfano nimeuza samaki, nimebeba michanga na kuchimba, kibarua fundi umeme japo kazi zote zinakuja kwa njia ngumu mno, ukweli kuna wakati najuta hata kuzaliwa kwenye familia niliyopo sababu wengi wa marafiki zangu wamefanikiwa why mimi au nimerogwa?

Yes,kwa mganga nimepita ila wanasema nanae kiumbe wa kizungu na kiarabu wote wanataka ufalme ndani yangu tangia hapo mawazo yangu ya kumuamini Mungu yanamushkeri japo kwa waganga sipendi kwenda tena coz Kila nikipata mitihani nasema kuwa wao majini ndiyo tatizo.

Ukweli ilifika wakati nilipokuwa chuo sikutaka kusoma sababu niliona sitafanikiwa na pia chuo nilipitia msoto wa nguvu ila nikalazimika kwenda kwa waganga kama 3 wakasema ninalo jini pia la uganga aiseee nilichokua yaani nina majini ya kiarabu (watabibu) pia ninayo majini ya kizungu (nahisi ni mwanamke) wote ninao hao sasa inakuwaje basi sina namna yeyote zaidi ya kuangalia yajayo.

Mwisho leo saa 12 asubuhi nimeota mjomba yangu ananiambia ujuwe wewe una uwezo mkubwa na mafanikio ndani yako ila tatizo wewe una kiumbe ambapo mpaka sasa anatusikia, pia hata mimi ananisikia navyosema zaidi wewe sio mstaarabu na hautaki kusikiliza akiongea wewe unapandisha sauti na hutaki kabisa kumsikiliza.

Binafsi naona huyu ni shetani na ananijaribu ila inafika wakati naona kama hakuna Mungu ila moyo unaniambia hapana Mungu yupo.

Msaada wenu ndugu zangu.

Inabidi ubadili sana fikra na imani yako. Ukweli mchungu, sio kila imani zetu ni nzuri na zinaweza kututoa katika shida za kipepo. Kuamini majini na kufanya nao kazi ni hatari mno kwa ustawi na uhuru wa mwanadamu.

Hapo ulipo umekwisha ingizwa katika mtego wa kuwatumikia mapepo/majini na inabidi ufanye hima ujikomboe. Najua tu hakuna njia ya kweli kwa suala lako isipokuwa kumwomba Mungu Mwenyezi kwa njia ya Yesu Kristo.

Tafuta mtumishi wa kweli wa Yesu Kristo atakupatia msaada wa maombi utoke kwenye huo mtego. Ila pia anza kusali ukiita Jina la Yesu utaona mambo yakianza kuachia.
 
Hahaaa unavutia kulekule hahaaaa
 
Nitumie DM. Nitakuagizia mahala sahihi kwa procedure sahihi ya kukukomboa. Mimi walishaanzaga kuniona crazy kabisa. Ulimwengu Bhana achaneni nao kabisa.

Kuna watu walishaandaa na mipango itayoendelea yaani kusema itakuaje baadae maana huyu keshapotea.

Baadae Ajenda kama ile ya Rose muhando ikabadilika hewani. Wao ndio wakawa na vihoro vya maisha majanga kila kukicha. Na mm nikaanza kufungukiwa na malango. Acha kabisa.
 
Mimi ni kijana umri miaka 28 ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto 6, naishi Dar es Salaam, elimu yangu ya diploma zaidi ni jobless pia muumini wa dini ya kiislamu.

Kimsingi nimeandika uzi huu kutaka kujua situation ninayoipitia ipo based kwa ulimwengu mzima au mimi pekee!

Binafsi najiamini kuwa naniyo imani ya Mungu kubwa sababu nimekubali kuwa kila nalopitia ni mwenyezimungu ndiye anaepanga, ujue nimejitahidi sana kuendana na sheria zake kuzini sipendi na hata ikitokea najilaumu mnoo. Anasa sipendi kwenda club au miziki hovyo, muda mwingi nipo ndani labda nipate kibarua hua nakaa sana nje, bangi sijawahi kuvuta ila nadiriki nimejaribu kama mara 4 japo sioni stimu yake na pombe sijawahi wala sitafikiria.

Lakini maisha yangu bado ni kizungumkuti sana ila upande wa baadhi ya ndugu zangu kama 2 pesa wanapata japo sio kihivyo lakini najiona mwenye kudharauliwa kwa kuwa sina chochote, nimekubali kuwa hivyo lakini zaidi naonekana mzembe licha kujichanganya na watu wasio Levo yangu mfano nimeuza samaki, nimebeba michanga na kuchimba, kibarua fundi umeme japo kazi zote zinakuja kwa njia ngumu mno, ukweli kuna wakati najuta hata kuzaliwa kwenye familia niliyopo sababu wengi wa marafiki zangu wamefanikiwa why mimi au nimerogwa?

Yes,kwa mganga nimepita ila wanasema nanae kiumbe wa kizungu na kiarabu wote wanataka ufalme ndani yangu tangia hapo mawazo yangu ya kumuamini Mungu yanamushkeri japo kwa waganga sipendi kwenda tena coz Kila nikipata mitihani nasema kuwa wao majini ndiyo tatizo.

Ukweli ilifika wakati nilipokuwa chuo sikutaka kusoma sababu niliona sitafanikiwa na pia chuo nilipitia msoto wa nguvu ila nikalazimika kwenda kwa waganga kama 3 wakasema ninalo jini pia la uganga aiseee nilichokua yaani nina majini ya kiarabu (watabibu) pia ninayo majini ya kizungu (nahisi ni mwanamke) wote ninao hao sasa inakuwaje basi sina namna yeyote zaidi ya kuangalia yajayo.

Mwisho leo saa 12 asubuhi nimeota mjomba yangu ananiambia ujuwe wewe una uwezo mkubwa na mafanikio ndani yako ila tatizo wewe una kiumbe ambapo mpaka sasa anatusikia, pia hata mimi ananisikia navyosema zaidi wewe sio mstaarabu na hautaki kusikiliza akiongea wewe unapandisha sauti na hutaki kabisa kumsikiliza.

Binafsi naona huyu ni shetani na ananijaribu ila inafika wakati naona kama hakuna Mungu ila moyo unaniambia hapana Mungu yupo.

Msaada wenu ndugu zangu.

Hiyo ya kuwaamini waganga, itakusumbua sana. Nini hasa utapata kwa mganga, kama sio kuchanganyikiwa kama unavyoonesha?
 
Back
Top Bottom