Kama hatutaki ushoga tuzingatie Sheria za Mungu

Kama hatutaki ushoga tuzingatie Sheria za Mungu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,971
Reaction score
6,670
Tatizo la ushoga ni kwamba mashoga wakiwa wengi sana, inakuwa vigumu kuwathibiti, kwa hiyo sheria inabidi zibadilishwe. Kwa sababu unamtuma polisi akamkamate shoga kumbe polisi mwenyewe ni shoga. Unamwamuru hakimu amhukumu shoga, kumbe hakimu mwenyewe ni shoga. Basi ndio unashindwa, inabidi uzibadili sheria. Tutakuwa na amani ya akili tukiliondoa hili swala katika ajenda.

Kwani kule Kenya jambo gani lilitokea? Nadhani Ruto alipokea hela za Wamarekani bila kutaka kutimiza masharti yao, Wamarekani wakabakia tu kupiga makelele.

Kamala Harris anakuja Tanzania. Hizi ziara zina malengo ya kukuzau husiano kati ya nchi; siyo ili mtu yeyote ajaribu kuonekana Mlokole au Mswahilina.

Kama hatutaki ushoga tuzingatie Sheria za Mungu, inatosha.
 
Hizi habari za ushoga nazo zimekua toooo much kwanini mmeamua kuupa promo hivi??? Faken
 
Ushoga ushoga ushoga mnaupa kipaumbele wa nini hasa??

Kuna madawa ya kulevya, panya roadi, ujambazi, ufisadi wa serikali yako n.k

Hii kitu mnaianzishia nyuzi kila leo mnazidi kuipromote kwa kujua(makusudically) au kwa kutojua(unmakusudically)... na hilo ndo lengo lao hasa.

Kama mlivokua mnawapa airtime kina harmonize na diamond kwa eidha uchafu au upuuzi wao na kuongelewa kila leo, ndo hivohivo mnaufanya huo ushoga mnaojinasibu mitandaoni hamuupendi ilhali mashoga wanaongezeka sijui nani anawafukunyua!! Uzi wenyewe haueleweki, we jamaa una malengo yako binafsi na sio kuusema vibaya au kuupinga.
 
Back
Top Bottom