tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

    wakuu kama heading inavoeleza apo. naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki kwanini sasa nataka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tiba ya tatizo la ANAL FISTULA

    Nina ndugu yangu amepata changamoto ya anal fistula amefanyiwa operation mbili tatizo lipo katika hatua za awali anatokwa na maji kidonda hakifungi na mwezi 6 mwaka huu wamemfanyia operation nyingine kwa kufunga njia ya haja kubwa wamemtoboa tumbo uchafu unapita hapo.Tunaomba mwenye ushauri kwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Waafrika ni kutokujua kuwa hata nyimbo zina mistari yenye maana kama kwenye biblia na quruan!!

    Hiyo mistari yenu ya biblia na quruan mmewekewa kwaajili ya marejeo ni kitu hamjui tu kwani hata nyimbo/miziki ya Kiafrika ina maana na mafundisho mazuri tu kuliko huo upuuzi wenu usioenda na matukio na wakati kila leo ni yaleyale hayabailiki. Situkeni!!
  4. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Mtandao Dodoma ni tatizo kweli au urasimu?

    Ni wiki sasa nimeweka kambi Dodoma kufuatilia hati za viwanja vyangu pale kwa maafisa ardhi jiji, urasimu ni mwingi, wanataka pesa, nikiwa DSM kuna mtu nilisema afuatilia baada ya mimi kufanya application mtandaoni manake siku hizi kuna e-ardhi kila kitu unaupload mtandani, lakini nikaambiwa...
  5. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Fanya zoezi hili kama unajihisi una tatizo la kumwaga haraka wakati wa tendo

    Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:- Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya...
  6. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna tatizo la unafiki ndani yetu

    Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sina tatizo na Samia kuongoza, tatizo langu ni Sheria na taratibu zifuatwe kwa Haki

    Hamjambo! Sisi wengine hatunaga shida na mtu kuongoza au chama Fulani kuongoza. Ili mradi ni mtanzania na yupo chama cha Watanzania sisi hatuna shida na hilo. Shida yetu(Mimi na Watibeli) wapigania na wapenda Haki ni kuona Sheria, haki na katiba vikikanyagwa. Hapo ndio shida yetu ilipo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo Polepole kujali uchama kuliko nchi🤦🏾‍♂️

    Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa. Polepole haongelei katiba mpya, utekaji, rushwa, uzembe, uzaji wa bandari na mikataba mibaya badala yake kuongelea taratibu za tamaduni...
  10. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Tunailaumu mwendokasi lakini na hili pia ni tatizo

    Ndio! Pamoja na mapungufu yote ya uongozi na uendeshaji wa mwendokasi kuna tatizo kubwa sana la WATANZANIA Watanzania kwa maana ya watumiaji wa mwendokasi na madereva hawa watu sio wastaarabu kabisa katika utumiaji wa vyombo hivi vya usafiri. Mtu unaona gari limejaa mpaka mlango haufunguki...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tatizo linaanzia pale nyie pia mnapowaita manabii

    Neno linaumba, right? Haiwezekani bado una wasi wasi na mienendo ya uendeshaji wa huduma ya kiroho ya hawa watu alafu bado una wawasilisha kwa jina la kipekee la nabii. Kutapeliwa kuna mentallity, sasa ukisha ita tapeli nabii ina maana tayari umeshaanza kutapelika.
  12. This is...

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania, Kirusi kinachoitafuna kikiondolewa nchi itapona

    Kirusi hicho ni EX CEO. Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni. Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
  13. Bobcheka

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

    h
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la definition ya democracy ni kua haisemi hao “people” ni kina nani.

    May be the “people” in question are those in power or those with power. May be the “people” are those with a lot of money who can change the direction of the government or they can enjoy their freedom. Like nakuaje kwenye kundi la “people” kama kura yangu haina nguvu hata kwa kumchagua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio watu wahuni ni mifumo bora

    Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  18. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kumsaidia huyu, atumie dawa gani na hili ni tatizo gani?

    Anaomba ushauri huwa amepata tatizo la kuwashwa mwili sasa akawa anajikuna sana mpaka akatoka vidonda kwenye uume pia makalioni, na kila akijikuna sehemu zingine za mwili anatoka vidonda na hatimaye hufanya vijipu.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

    Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Visa Card ya Vodacom

    Nimejaribu masaa kadhaa leo kuweka pesa kwenye M-Pesa Visa card inasema tatizo la kiufundi. Ni kwangu tu au kuna mtu pia amekutana na hili tatizo? Simpati mhudumu wa Vodacom anipe jibu.
Back
Top Bottom