Kwenye taasisi nyingi iwe serikalini au private sector , asilimia kubwa ya watu wa uhasibu na masijala wanasumbua sana, muhasibu kukamilisha malipo hadi umbembeleze kama vile hiyo pesa inatoka mfukoni mwake , visingizio kibao… mara mfumo , mara mtandao hadi malipo yakamilike hata kwa shughuli za...
Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti.
Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya...
Macho kutoa machozi mara kwa mara (Epiphora). Kazi ya macho ni kulainisha, kusafisha na kulinda jicho, ikiwa yatazalishwa mengi au ikiwa kitu kitayazuia kutoka vizuri - kunaweza kuwa na tatizo la macho kutokwa machozi mara kwa mara. Tatizo linaweza kuwa la muda, lakini pia inaweza kuwa ishara ya...
Eti wakuu Nina kama mwezi hivi ninanunua vichwa vya chaji na cable karibia laki imenitoka nikibadilisha kichwa hasa cha oraiomo ndo naona vinapatikana sana madukani vinafanya kazi baada ya week kinaanza kuzingua pia hata cable nabadilisha zinazingua baada ya muda.
Naombeni uzoefu wenu watu...
Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
Anonymous
Thread
asilimia
buchosa
halmashauri
katika
mikopo
samahani
tatizo
vijana
vikundi
Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara.
Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye...
Habari wakuu
Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba .
Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala.
Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia
Camara
KAPOMBE
ZIMBWE
Chamoue
Hamza
Ngoma
Kagoma
Kibu
Ahoua
Ateba
Mpanzu
Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
Wakuu kwema?
Kuna changamoto hapa jicho limetoa kijipu kina takriban miezi mitatu hakiponi wala hakipotei kama kilivyoadiriwa.
Ni dawa gan inatibu hili?
Cc. DR HAYA LAND
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku
Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
Habari za Leo wakuu.
Mimi ninasumbuliwa na acid reflux yaani mapigo ya moyo yanaenda Kasi Sana afu tumbo kujaa gesi kiungulia Kwa Sana afu unakuta Koo linakuwa la moto Sana unajikuta unakunywa maji Sana afu ata nguvu za kiume zinakosekana pia chini ya uti wa mgongo karibia na kiuno kunawaka...
Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka katika kazi ngumu tunataka tuangalie movies lkn haturuhusiwi shida nn,au kodi imetosha
Anhinga ama kisayansi kwa jina la Anhinga rufa, ni ndege anayepatikana hasa katika maeneo ya kusini mwa Afrika. Ndege huyu ni maarufu kwa uwezo wake mkubwa wa kuvua samaki na hata kula nyoka, akitumia mbinu zake za kipekee katika kuwinda.
Hata hivyo, kuna watu ambao hula nyama ya ndege huyu...
Wanahamasisha watu wajiandikishe katika daftari la mpiga kura.
Wanahamasisha watu wapige kura.
Lakini hawa hamasishi uhuru wakati wa kupiga kura na kulinda kura.
Hawahamasishi uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
Hawahamasishi uhuru wa vyombo vya Habari na usawa katika kutoa taarifa.
Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.