Huo ndo ukweli mchungu ,
Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika
Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO
Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika
Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.
Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga...
Sitaki kuamini kwamba mataa ya kuongozea waenda kwa mguu na magari pale Kijitonyama siku hizi hayafanyi kazi!
Yaani ni kero kubwa sana kwa sababu unakuta zile taa za waenda kwa mguu unakuta ile picha nyekundu ya mtu akiwa amesimama siku hizi haibadiliki. Hivyo muda wote ni magari tu na...
WanaJF habari za wakati?
Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
CCM MMEACHA NJIA MMEACHA KUANDAA VIONGOZI SASA UONGOZI NI KUENDANA NA UPEPO.
Wasalaam wanajukwaa!
Tokea enzi za Mwalimu CCM walikua na utaratibu wa kuandaa viongozi ambao baadaye tunawapata marais, speaker, Makamu wa Rais na mawaziri wakuu. Hivi sasa tuseme uongozi umekua ni kama zali hata...
Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana!
Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti?
Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
Mzuka Wana Jamvi..
Binadamu ni waasi na ni waovu..
Nakumbuka jinsi walivyokuwa wanampopoa Magu na kufurahia kifo chake kana kwamba tokea uhuru Magu ndio alikuwa raisi pekee na kuleta matatizo yote haya , pamoja na hayo Mkaenda mkaandaa nyuzi za kumsifia sana Rais Samia na ili kuwaumiza wafuasi...
Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo...
Habari wakuu.
Naomba ushauri kwa wenye utaalamu na gearbox za automatic.
SIku za karibuni nimepata changamoto na gari yangu Toyota Vanguard kwenye upande wa transmission.
Wakati wa kubadili gear au nikipunguza mwendo sana gari inakita, nimebadili mounting mbili lakin tatizo bado halijaisha...
Habari za wakati huu wana jamvi. Naomba kujua je mtoto huyu ana changamoto gani na ni nini tiba yake? Kuna mtoto wa mjomba wangu kwa sasa ana umri wa miaka miwili na nusu. Mtoto huyu tangu azaliwe amekuwa na changamoto ya kukoroma muda wote na kutoa milio kama vile pua zake zimeziba, kwa kifupi...
Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga.
Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi.
Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi.
Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
Tatizo sio Mama Samia, kuna tatizo kubwa zaidi kabla yake, tatizo ni mfumo CCM.
Huu mfumo ndio uliomweka Mama alipo na ndio unaompa kiburi na dharau.
Hata Philipo Mpango akiwa rais leo tutaendelea kushuhudia hovyo iliyopo.
Tuuwe huu mfumo CCM kwanza jamani!
Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika.
Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
Mbona kama utekaji upo upande wa Tanganyika pekee? Ni kweli?
Kama hakuna utekaji Zanzibar, nini siri ya mafanikio yao?
1. Wana vyombo vya dola makini kuzidi Tanganyika?
2. Wana viongozi wenye uweledi?
3. Wananchi wa Zanzibar wamestaarabika kuliko Watanganyika?
4. Hakuna wahuni nchini...
Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana...
Habari Wanabodi!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kama wiki tatu zilizopita niliunganishiwa umeme na TANESCO, ila kumekuwa na tatizo la low voltage hasa kuanzia saa moja usiku hadi saa tano au sita usiku ndiyo unalejea kwenye voltage ya kawaida.
Nyumba ilikuwa na wire ring imekaa muda mrefu...
Habar wakuu,
Nimekuwa na tatizo la kutopata choo. Nilikaa kama wiki sijapata choo nikaamua kutumia dawa za "Bisacodyl", zilisaidia nikaharisha sana. Lakini tangu hapo zimepita wiki mbili sijapata choo tena, ikitokea napata kidogo saana kama punje alaf kigumu sana japo nakula chakula kama kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.