tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo Polepole kujali uchama kuliko nchi🤦🏾‍♂️

    Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa. Polepole haongelei katiba mpya, utekaji, rushwa, uzembe, uzaji wa bandari na mikataba mibaya badala yake kuongelea taratibu za tamaduni...
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Tunailaumu mwendokasi lakini na hili pia ni tatizo

    Ndio! Pamoja na mapungufu yote ya uongozi na uendeshaji wa mwendokasi kuna tatizo kubwa sana la WATANZANIA Watanzania kwa maana ya watumiaji wa mwendokasi na madereva hawa watu sio wastaarabu kabisa katika utumiaji wa vyombo hivi vya usafiri. Mtu unaona gari limejaa mpaka mlango haufunguki...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tatizo linaanzia pale nyie pia mnapowaita manabii

    Neno linaumba, right? Haiwezekani bado una wasi wasi na mienendo ya uendeshaji wa huduma ya kiroho ya hawa watu alafu bado una wawasilisha kwa jina la kipekee la nabii. Kutapeliwa kuna mentallity, sasa ukisha ita tapeli nabii ina maana tayari umeshaanza kutapelika.
  4. This is...

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania, Kirusi kinachoitafuna kikiondolewa nchi itapona

    Kirusi hicho ni EX CEO. Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni. Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
  5. Bobcheka

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

    h
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la definition ya democracy ni kua haisemi hao “people” ni kina nani.

    May be the “people” in question are those in power or those with power. May be the “people” are those with a lot of money who can change the direction of the government or they can enjoy their freedom. Like nakuaje kwenye kundi la “people” kama kura yangu haina nguvu hata kwa kumchagua...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio watu wahuni ni mifumo bora

    Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  10. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kumsaidia huyu, atumie dawa gani na hili ni tatizo gani?

    Anaomba ushauri huwa amepata tatizo la kuwashwa mwili sasa akawa anajikuna sana mpaka akatoka vidonda kwenye uume pia makalioni, na kila akijikuna sehemu zingine za mwili anatoka vidonda na hatimaye hufanya vijipu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

    Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Visa Card ya Vodacom

    Nimejaribu masaa kadhaa leo kuweka pesa kwenye M-Pesa Visa card inasema tatizo la kiufundi. Ni kwangu tu au kuna mtu pia amekutana na hili tatizo? Simpati mhudumu wa Vodacom anipe jibu.
  13. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA tumsaidie hili la Daladala kukatisha ruti Mbeya

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala. Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa kuishia Mwanjelwa badala ya kufika Stand Kuu. Ukiachana na hizo daladala za Nsalaga Kuna hizi za kutoka...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia lakini hapa kwetu isiwe hivi ilivyo

    Ajira hakuna lakini hizo chache zilizopo zinanukia harufu ya kujuana na rushwa, Kama ajira hakuna basi ugumu uwe kwa usawa (equally) bila kujali cheo, undugu, urafiki, kabila, dini, mali Wala kufahamika kwa mzazi, ndugu, rafiki wa muomba ajira. Hali sio nzuri katika nyanja zoote za ajira na...
  15. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kila unapomsaidia mwanamke, hakikisha unamdinya kwanza. Vinginevyo, what goes around, goes away

    Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtu anafika madhabahuni anatoka bila kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake. Hili ndilo tatizo nililoliona madhabahuni kwa Mwamposa jana

    Mtume Paul alipokuwa anachambua karama ya kunena kwa lugha na kuhutubu/ unabii aligusia umuhimu wa kuhutubu (unabii) kwa watu wasioamini wanapokuja mahali kwa walioamini. Katika karama 9 kuu ambazo mtume Paul kazigusia karama ya kunena kwa lugha na Karama ya unabii ndizo kazichambua kwa upana...
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto wa miezi 9 kutopenda kula

    Wadau salama? Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake ni ipi?Kama ni tatzo lingine naliondoaje? Asanteni.
  18. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Lijue Tatizo la Kujihisi Mnene na Kukosa Hamu ya Kula (Anorexia nervosa).

    Anorexia Nervosa Ni Nini? Anorexia Nervosa ni tatizo la akili na lishe (eating disorder) ambapo mtu hujizuia kula chakula au kula kidogo sana kwa hofu kubwa ya kunenepa, hata kama tayari ni mwembamba kupita kiasi. Mtu mwenye anorexia huwa na mtazamo usio sahihi juu ya mwili wake na huamini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Rais ameahirisha shughuli za Bunge badala ya kulivunja kama katiba inavyosema? Kuna tatizo?

    Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutosikia vizuri, natafuta kazi

    Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo. Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
Back
Top Bottom