Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

Abdull hameed

Senior Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
112
Reaction score
213
Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
 
Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata km hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
Nenda kwanza ucheki hospitali kama huna tatizo la moyo au presha. Kama upo vizuri na bado unashtuka hovyo basi ni vyema ukafuatilia sana mambo ya kiroho kwani kushtuka hovyo kunaweza kukasababishwa na shughuli za kiroho za viumbe kama majini katika mwili wako. Uwe na uhakika kuwa utakaowakimbilia kwa msaada ya kiroho hawatakuongezea matatizo.
 
Sawa mkuu nitafanya ivo
 
Back
Top Bottom