tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Router za vodacom na tatizo la internet

    Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa. Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi. Naomba kujua kama na nyie mnakutana na changamoto kama hii na jinsi ya kuiondoa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume

    Wakuu nina hali ambayo hunitokea sana nyakati za usiku nikilala nikashituka hata kama ni saa 6 usiku basi uume (mashine) husimama mazima hata nilale tena na nikashituka tena nakuta hali iko hivyohivyo tena. kwahyo kulala kifudifudi inakuwa shida siwezi.na hata asubhi nikiamka inakuwa hivyo...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu watanzania siyo rangi ya mtu, bali uduni wa fikra

    Kuna rafiki yangu analalamika kuwa uchumi wa nchi yetu umemilikiwa na watu ambao kwa mtazamo wake anadai siyo watanzania. Anadai miradi yote mikubwa kwa sasa nchini inafanywa ama kumilikiwa na Waarabu, wahindi, wazungu na hivi karibuni na wachina na wale weusi wachache wanaoonekana ama ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ulijifanya mjuaji kwenye kitu gani ukaishia kugharamika zaidi kutatua tatizo la gari?

    Hapo zamani kidogo nilienda kuchaji betri ya gari, kesho yake narudi nalo sikutaka msaada wa fundi, nikaingia youtube nicheki wazungu wanafanyeje ku connect, Mambo ya DIY Do it yourself, kujifanyia mwenyewe nikiwa najipa moyo hakatwi mtu hapa, siwezi kutoa pesa kirahisi wakati nina bando na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL hawaajiri watu wanaofanya internship kwao, na hawalipi stahiki za watumishi wao

    Kumekuwa na changamoto ya ajira kwenye kampuni ya TTCL kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Watu wanafanya sana kazi za internship bila kuajiriwa. Pia mikataba yao siyo mizuri; kwa zaidi ya miaka sasa intern wanalipwa tu posho, lakini hawana ajira za kudumu. Pia hawana bima wala NSSF. Watu wanaambiwa...
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Tatizo wanaume hawana uvumilivu

  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  8. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hii ni Hali ya kawaida au Kuna Tatizo sehemu

    Salam wakuu. Bila kuwachosha Kuna Hali flani imekuwa ikijirudia Sasa nashindwa kuelewa je ni Hali ya kawaida au dishi lishaanza kuyumba Yaani Kuna Ile unatembea tembea mara umefika sehemu ukiangalia Yale mazingira na kinachoendelea pale ni kama siyo mageni yaani kama ushawahi kufika hapo kabla...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba

    Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania

    Nimefikiria sana kabla ya kuandika singa hii, kwa vile wengi wameshaandika juu ya maudhui. Lakini, kama mfuatiaji wa karibu wa yale yanayoendelea Burkina Fasso, wivu, uchungu na tafrani vimenifanya nilirejee suala hili kwamba, siye Tanzania kitu gani kinafanya nchi yetu izorote? Ni miaka kadhaa...
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo jipya: Mabinti ukiwaalika nyumbani wanang'ang'ania

    Sasa hivi imekua kosa kumkaribisha Binti nyumbani ili mpeane burudani..Sijui ni ugumu wa soko lao ama ni nini lakini Mimi hili limenikuta juzi, anyway Iko hivi. "Kuna mrembo nimemkaribisha Siku ya mwaka mpya na wote tulikubaliana kwamba nitaibomoa nyapu kisha nikajua anaondoka kesho yake...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni kwamba, baada ya mauaji ya Oktoba 2025, hata muongee maneno mazuri kiasi gani, ICC ya The Hague inawasubiri!

    Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho. Anzeni kujipanga kwenda kwenye kesi, na hata kutangaziwa International Arrest Warrants. Ushahidi upo wa wazi...
  13. Sheriff Hood

    JamiiForums Tanzania Trigeminal Neuralgia - naombeni ufafanuzi juu ya tatizo hili la kiafya

    Wakuu nasumbuliwa na maumivu makali upande mmoja wa uso kwenye shavu karibu na sikio. Maumivu haya yanakuja kila baada ya kupita muda fulani inaweza ikawa nusu saa, lisaa au masaa kadhaa, yakija yanadumu kwa sekunde kadhaa then yanatoweka, maumivu mithili ya shoti kali ya umeme, au kama mtu...
  14. Ntele Bhn

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji Dar: Tatizo sio maji, tatizo ni Uongozi

    Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mto ruvu anadai tatizo la maji ni tatizo la kidunia.Pia Waziri wa Maji kwa Nyakati tofautitofauti...
  15. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Nyundo Kila Tatizo Utaliona Kama ni Msumari

    Ndivyo ulivyo utawala wa sasa. Kila mzalendo. Kila mtu asiye chawa wao. Kila mwenye fikra huru na mitazamo tofauti. Kila asiye mwanaCCM. Kila Mtanganyika. Kila mwenye uthubutu wa kuhoji....Kwao ni msumari tu; na anastahili nyundo kichwani. Mpaka lini?
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO TRC na SGR Tatizo Nini? Masaa 5 sasa treni haijaondoka DSM

    JF hebu tusaidieni kuhoji… DSM hapa train haijaondoka toka saa 12 asubuhi leo tar 28.12.2025.. Kwanini hakuna accountability kwa kueleza wateja/abiria nini kimejiri na tatizo litatatuliwa baada ya muda gani? Hakuna taarifa ya muda gani train itaondoka. Train za saa 2 na saa 3 asubuhi pia abiria...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tatizo la Tanzania: Samia hataheshimiwa baada ya kuiba kura kijinga!

    Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani. Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Nchi , Tatizo ni Serikali

    Yeah, nchi kama nchi haina tatizo, tatizo ni hao walioko kwenye serikali. Ndoto za wengi zimeyeyuka na kutoweka na zinaendelea kuyeyuka kwakuwa walioko huko serikalini ni genge la wabinafsi sana. Utakubaliana na mimi ,umaskini wa watu at Household level au individual level unachangiwa kwa...
  20. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
Back
Top Bottom