Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

Kitambi kinakuja kwa kasi, nini tatizo

Vanclassic

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
91
Reaction score
203
wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno

sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki

kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
 
Na kikiingia hakitoki.. Kikitoka nyama zina pweta pweta utadhani mama alojifungua watoto wa tano na nusu🤣

Sasa kama tangu mwezi wa 2 kinaanza kuja unakiangalia tuu huo ni uzembe sana.

Dawa kubwa ya kitambi ni mazoezi na Mpangilio wa kula
 
wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno

sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki

kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
Acha pombe za bure.
 
Kimefikia stage hii?
IMG-20231125-WA0045.jpg
 
wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno

sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki

kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
Umepata kazi ama umeongezewa mshahara 500 K take home
 
wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno

sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki

kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
Sio genetic ? Vp vinywaji hujasema, bia soda !! Michemsho je !!
 
Unakula Milo mingapi kwa siku, jaribu ku skip ule mlo wa asubuhi hasa hasa hii mi supu ya asubuhi ya bei nafuu madhara yake ndio kama hivyo
 
Back
Top Bottom