K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,663 Reaction score 15,224 Jul 18, 2025 #1 Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
Huwezi kumaliza wahuni kwenye nchi au chama weka mifumo bora Polepole anakosea kwa kujali wahuni badala ya mfumo mzima wa nchi wa uhuru na haki
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 30,565 Reaction score 55,681 Jul 18, 2025 #2 Mifumo bora inasimamiwa na watu
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,750 Reaction score 37,397 Jul 18, 2025 #3 kwa wahuni wanatoka wapi.Wakati ukijua hawa wahuni wapo kwenye kundi la watu