Kwamba umeshapata hadi idadi ya hao wanaoshupalia uchaguzi/uteuzi/uchafuzi au unatoa hisia zako tu?Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
Umeona ee?!! Nyumbu wote Sasa wapo kwa gwajima na polepole🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha CCM ndo chama kikuu tunafanya harakati uchwara kumbe kisiri Siri tuna card za ccm
Upe muda wakati wala usiwe na paparaGhafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
Ushahidi upo humu humu mitandaoni watu wapo busy na uchaguzi wa ccm ni kama washakubali uchaguzi ufanyikeKwamba umeshapata hadi idadi ya hao wanaoshupalia uchaguzi/uteuzi/uchafuzi au unatoa hisia zako tu?
Labda kuna vitu huvijui vizuriUshahidi upo humu humu mitandaoni watu wapo busy na uchaguzi wa ccm ni kama washakubali uchaguzi ufanyike
Mbona huwa mnawaita "keyboard warriors" na kuwaweka kundi lisilo na impact yoyote?Leo wamehesabiwa?Ushahidi upo humu humu mitandaoni watu wapo busy na uchaguzi wa ccm ni kama washakubali uchaguzi ufanyike
Wameshachoka kupigania magrumageuzi low-key wameshaanza kukubali mfumo wa chama kimojaUnakuta mtu analaumu kwa february kukatwa,
Halafu mtu huyo huyo analaumu pia familia ya mkwere kupita!
Pengine mtu huyo huyo kama February angepita,pia angelaumu,
Kuna watu wala hawajulikani hua wanataka nini hasa!
😀😀
Watu ambao hawako pro business minded ndio wanakuwaga na hizo kaziGhafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
Mwalimu Nyerere alisema, CCM inapoteua mgombea wa uongozi, huwenda ikawa ndiyo inatutangazia Kiongozi wetu ajaye.Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
===Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar
Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga
2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu
2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro
Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar
3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar
4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar