tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu. Spika...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

    Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
  3. JamiiForums Tanzania Bukoba, Moshi, Arusha na Mbeya ndio wanaoichangamsha nchi hii? Tarehe 25Dec na 1 January miji mingine hupoa kama kuzimu

    Habari Wakuu! Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii. Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania? Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyo mjibu leo tarehe 24/12/2021 siku moja kabla ya christmas

    Wanazoea vibaya sana mamaeeeee mtu hatujawasiliana toka mwezi wa sita leo from no where, goooooog daamnnnnnn, bora nibaki singo kuliko hawa kupe
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  6. J

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya Polepole baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM inayofanyika Disemba 18, 2021?

    Je! Katibu Mstaafu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Humphrey Polepole atapona kwenye vikao hivi? #Let's give a Time time,
  7. JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kukutana Desemba 18, 2021

    HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA ITAKUTANA TAREHE 18 DESEMBA, 2021 TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa itakutana Desemba 18, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Samia Suluhu Hassan. Kikao...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Bila Kanisa Katoliki Tanzania isingekuwa huru tarehe 09|12|1961?

    == Siweki neno sikiliza hii mpaka mwisho||
  9. JamiiForums Tanzania Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

    Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!! Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu. Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
  10. JamiiForums Tanzania Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

    Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao. Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka ndani ya Ngorongoro kuzindua kampeniza uchaguzi mdogo wa Mbunge

    Chama Cha Mapinduzi kuzindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi mdogo jimbo la Ngorongoro trh 26|11|2021 katika Viwanja vya Malambo kata Sale. Kampeni hizo zitazinduliwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi "Simba wa Vita " Shaka Hamdu Shaka akiambatana na Viongozi mbalimbali pamoja Wale wa Wilaya...
  12. JamiiForums Tanzania Tarehe 7 Julai rasmi siku ya Kiswahili duniani

    TAREHE 7 JULAI RASMI SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 1/2 Mkutano Mkuu wa 41 wa #UNESCO umeipitisha tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani. Azimio hilo limepitishwa na nchi zote wanachama wa UNESCO bila kupingwa, leo tarehe 23 Novemba, 2021, Paris nchini Ufaransa. Tuko pamoja; na...
  13. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  14. JamiiForums Tanzania TANESCO: Mikoa 11 kukosa umeme kwa masaa 12 tarehe 15 Novemba 2021

    Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa. Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
  15. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021 Ungana...
  16. JamiiForums Tanzania Bwana Samatta -Liverpool 1- 1 Genk tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita

    SAMATTAAAAAAAAAAA LIVERPOOL 1-1 GENK Genk's Tanzanian striker Mbwana Samatta powerfully headed in the equaliser at the near post from a corner five minutes before half-time. We could have scored more often and that would have completely changed the game. But then they scored the goal, a really...
  17. JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu, Unakumbuka nini siku hiyo?

    Leo ni mwaka mmoja kamili tangu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 ufanyike. Unakumbuka nini katika uchaguzi huu?
  18. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuanzia tarehe 1 November WhatsApp kuacha kutumika kwenye baadhi ya simu za iPhone na Android

    They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android. Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

    Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
  20. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Maulid kusomwa usiku wa tarehe 18/10/2021 hivyo tarehe 19/10/2021 ni mapumziko

    Wakuu salaam, Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…