tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO kuzima Umeme siku 2 kwa saa 12 (Agosti 26 -28 2023), Mikoa 15 gizani

    Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023 Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi 12 Asubuhi huku Mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya ikitarajiwa kuathirika Mikoa mingine ni Dodoma...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waislam wa Pakistan wachoma moto Makanisa na nyumba za wakirsto Tarehe 15 Agosti, 2023

    Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20. Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Chris Brown kuachia albam ya 11 tarehe 11 mwezi wa 11 na itakuwa na Nyimbo 11

    Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo iliyokuwa na nyimbo 57. Breezy amesema licha ya mashabiki zake kutaka albam yenye nyimbo nyingi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Ufunuo 12:1 "Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!" Luka 1:26 "Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya, kwa msichana mmoja...
  5. JamiiForums Tanzania Documentary ya Yanga SC itakayozinduliwa Augosti 7, 2023 nitaipenda tu ikiwa na matukio yafuatayo

    1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC 2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC 3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo 4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC 5...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

    Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote. Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaoshanga na Kujiuliza kwanini tarehe 31 July imepita. na Simba SC bado Inasajili tu Jibu lenu hili hapa

    "CAF imeweka utaratibu mpya wa Timu ambazo hazianzii hatua ya Awali Kombe la Klabu Bingwa na zipo katika zile Timu Nane zitakazoshiriki Michuano mipya ya Afrika Super Cup zenyewe zitaendelea Kusajili hasi tarehe 30 Mwezi huu wa August, 2023" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally muda mfupi...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

    Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato. Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba mnipokee wadau, nimejiunga mwezi wa huu wa saba tarehe 1

    naomba mnipokee wakuu nimejinga mwezi huu wa saba tarehe 1, naombeni mnipokee wakuu 🙏
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

    1.Miezi miwili tu baada ya hiyo tarehe kampuni ya symbion ililipwa zaidi ya billioni 349 na mafisadi kuachiwa licha ya bunge kutoa azimio symbion wasilipwe na waliohusika wafungwe. 2. Licha ya bandari ya Dares salaam kuboreshwa hadi kufikia meli kubwa ya mita 300 kuweza kutia nanga hapo lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Exchange rate ya Us$ leo tarehe 26.7.2023 kwa Tsh Tafadhali?

    Mwenye jibu nina liomba tafadhali?
  12. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana. ========== Mdau mwingine pia aliandika: =====
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  14. JamiiForums Tanzania Hatutaki Kutangaza Kauzwa mpaka atujazie Uwanja tarehe 22 July, 2023 kwani tukitangaza sasa Watu hawatajitokeza

    Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema. Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki. Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka, Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel, Makumbusho

    Wakili Peter Madeleka,Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel,Makumbusho,Dar es Salaam.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

    Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma. Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Leo sabasaba, tunakumbuka kuzaliwa kwa TANU, tarehe 7/7/1954

    Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM. CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa chama hiki kilichoendesha Siasa za ukombozi Afrika. Nani alikuwa haijui code ya 7-7? Ndio hiyo, lift...
  19. JamiiForums Tanzania Tunakumbushana tu kuwa leo ni tarehe 1 July, 2023

    Let us prepare ourselves to dig deep from our empty and poor Pockets. Kudadadeki.
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Mtume wenu Mwamposa hupenda kufanya Makongamano yake Tanganyika Packers hasa tarehe hizi?

    Hasa hasa kila tarehe za mwisho wa Mwezi kuanzia 25 hadi tarehe za 7 na 9 za Mwezi mpya. Natamani mno kuuona akiandaa Makongamo yake tarehe za kuanzia 11 hadi 22 za kila Mwezi. Nimemtaja hapo Mtume wenu kwakuwa Mimi siyo Mtume wangu na nikiwasoma Watume wakweli katika Biblia na Historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…