Amina anuliza Tarehe ya kureport lini kwa waajiriwa wapya,UALIMU na afya?
Pia anaulizia ,Afisa lishe na ustawi wa JAMII wanalipwa tshs ngapi? Je Kuna marupurupu?
Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.
Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa....
Watanzania tusimame na Yanga kwani...
Mkiona Nahodha wa Yanga SC Bakari Nondo Mwamnyeto Siku hiyo akiomba Waanze Wao Kuanzisha Mpira na waanzie Goli la Kusini na Mchezaji wao Aziz K au Fiston Mayele au Kenmeth Musonda Refa akipuliza tu Filimbi Mechi kuanza wakiupiga mpira upande wa Kulia wa Uwanja kutokea Goli la Kusini...
Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na Algeria.
Kama juzi tu kwa Mkapa walikuwepo Waarabu Kumi ( 10 ) tu ila Shughuli yao Kiushangiliaji...
Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.
Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara".
Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye...
Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
Sababu zangu kubwa za kutokuunga mkono huu mgomo wa wafanyabiashara ni nyingi, ila nitataja chache tu
1-Sie tumepigwa faini sana na hakuwepo wa kututetea, leo wamebanwa wakubwa huko wanataka support yetu, si sahihi
2-Hivi kuna kipindi wafanyabiashara waliteseka kama awamu iliyopita? Mbona...
Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo
Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1 (c).
Waitara alitoka nje ya Ukumbi wa Bunge akionesha kutoridhishwa na majibu ya Serikali kuhusu...
MBUNGE: UKAGUZI KWA WATUHUMIWA GEREZANI UNADHALILISHA WANAWAKE
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amesema “Tunawasisitiza RPC, OCD na Wakuu wa Vituo kuzingatia Sheria kwa makosa yanayostahili dhamana, pia Serikali imetenga fedha katika Bajeti ijayo kwa ajili ya kununua vifaa vya...
Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi.
Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
Sherehe yeyote ya kidini ambayo inatambulika kwamba ni sikukuu na serikali inaitambua basi inapaswa tarehe yake tuifahamu.
Hii itasaidia serikali kupanga ratiba zake ku-accomodate shughuli husika kwa siku husika. Hii uncertainity inasababisha bughudha kubwa sana hata kwa wasio husika, vipi na...
Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji...
Mimi na wadau wengine wa mazingira ikiwemo taasisi ya TREE OF LIFE FOUNDATION tuna mpango madhubuti wa kwenda kuwapokea mashujaa wetu waliokaa ughaibuni kwa miongo miwili.
Hii nchi ina longolongo nyingi sana huenda hao chura walikufa miaka mingi sana ila wajanja wazito wamewafanya ni mtaji wa...
1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao.
2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika.
3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale Makomandoo (watu wa maandalizi na kamati za kimkakati) walishwe Yamini ya Kiapo na Uaminifu.
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.