taratibu

  1. Ni wapi mahali sahihi kwa mujibu wa taratibu kuwekwa plate number za pikipiki?

    Peace be with you all, Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR. Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
  2. Taratibu taratibu mama zetu na dada zetu wanaanza kuelewa thamani ya ngozi zao

    Kadri siku zinavyoenda taratibu taratibu wakawake wa kiafrika wanaanza kuelewa thamani ya rangi ya ngozi zao. Siku hizi ile kasi ya wanawake ku-bleach ama wanaita kukrimu rangi ya ngozi zao waonekane weupe inapungua ama inaelekea kuisha kabisa. Sasa wanawake wanajikubali kwamba ngozi yao nyeusi...
  3. Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
  4. Kwa kukereka na mwendo wa taratibu wa Mabasi ya Mikoani naomba ombi langu likubaliwe

    Kuwe na Mabasi Maalum ya Waoga wa Kufa ( yaendayo taratibu ) kama sasa na pia kuwe na Mabasi Maalum ya Tusio Waoga wa Kufa ( yaendayo kasi ) ili tusichoshane humu Barabarani. Haiwezekani kutoka Dar hadi Moro zamani ukipanda Abood Dereva akiwa Dula Bedui ( sasa Marehemu ) unatumia dakika 90 au...
  5. Fahamu kuhusu Talaka na taratibu zake Kisheria

    FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake KISHERIA. It's me Mr George Francis 0713736006 mr.georgefrancis21@gmail.com TALAKA ni ruhusa au amri ya kisheria inayotolewa na Mahakama pale ambapo mume au mke anataka kumwacha mwenzake. Hii ni hati inayoidhinisha kuvunjika kwa ndoa baina ya wanandoa...
  6. Taratibu za kuingia Zambia

    Wakuu Salam kwenu. Naomba kujua namna ninaweza kufika Lusaka Zambia. Nauli hadi kufika, gharama za maisha na mambo mengine muhimu. Pass imeexpire so nitahitaji emergency travelling documents, je ninaweza kuzipata pale uhamiaji mpakani? Na kuhusu visa, je inahitajika au ni visa free? Na kama...
  7. Vijana waleta fuji kutaka aliyetengwa na kanisa azikwe kwa taratibu rasmi za kanisa

    Ujumbe uko kwenye video hapa chini kwa vijana wa Arusha
  8. Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
  9. M

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  10. Maadili, Taratibu na Mamlaka Zinazosimamia Maadili ya Mawakili Binafsi, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili tu. 1: TUANZE NA MAWAKILI BINAFSI Sheria...
  11. Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

    Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani hapa Kabla ya kukutana na mke wangu nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi....lkn mahusiano...
  12. Athari za uandishi wa habari ndani ya taratibu za kimamlaka

    Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
  13. Kanuni na taratibu za kuanzisha huduma ya Upelelezi binafsi (PI) Tanzania ni zipi?

    ...
  14. Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  15. Hatua na Taratibu za Kufungua Maombi ya kusimamia Mirathi Mahakamani

    HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi? Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
  16. Hali ya Ajira imeanza kutengamaa taratibu

    Vijana wapo wanachapa kazi angalau huwez fananisha na miaka ya nyuma Namuomba Ndugu Samiah Suluhu hakikishe anafufua sekta binafsi ili vijana waweze Kupata Ajira kwa wingi Kama enzi za Mzee Mrisho Jakaya kikwete. Au Mzee Mwinyi.
  17. Naomba kufahamishwa taratibu za kuanzisha chama cha siasa?

    1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama? Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu. 2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda? • Wanzilishi wawili watawasilisha maombi ya usajili wa muda kwa kujaza fomu maalumu wakiambatanisha na katiba na kanuni za...
  18. Taratibu woga umeanza kuwaondoka wananchi

    Wakati nikiwa katika harakati mjini hapa kwenye bandari ya salama. Nikakutana na kundi kubwa la abiria , konda na dereva wa gari la abiria wakiwa wamemzunguka ofisa mmoja wa polisi. Kutaka kujua kinachoendelea nikajifunza kwamba ile gari ya abiria ilikamatwa kwa kosa la kupakia abiria kwenye...
  19. Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

    Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati...
  20. Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako. Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…