tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

    Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s, mzee wake alikuwa Don sana lakini...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Richard Norton afariki dunia

    Richard Norton, mwigizaji, staa katika filamu ya Mad Max, amefariki akiwa na umri wa miaka 75, mkewe Judy Green ametoa taarifa kwenye Instagram. "Nimevunjika moyo, sina maneno nimepoteza kila kitu changu," aliandika kwenye maelezo, pamoja na picha. "Najua kuna, na kutakuwa na upendo na mshtuko...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto watatu wa familia moja Bukombe wajeruhiwa na radi, mmoja afariki Dunia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linathibitisha kwamba Machi 23, 2025 majira ya saa 12 jioni katika Kitongoji cha Igwamanoni, Kijiji cha Kakoyoyo Wilayani Bukombe mtoto mmoja Ibrahim Masumbuko (09) mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo alifariki baada ya kupigwa na radi...
  4. King Kong III

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva G-Son wa Xplastaz afariki Dunia

    Umuofia kwenu wana JF, Aliyekuwa mwanamuziki aliyeunda kundi la Xplastaz Godson Rutta aka G-Son amefariki dunia akiwa USA baada ya kuugua kwa muda mrefu. Ikumbukwe kwamba Gsan ndiyo mtanzania wa kwanza kushiriki tuzo za BET Cyper kwa kutumia lugha ya kiswahili ,kwenye hiyo cypher mwaka 2009...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge Mwanamke Kutoka Republican Afariki

    Mia Love, mbunge wa kwanza mwanamke mweusi wa chama cha Republican nchini Marekani amefariki akiwa na umri wa miaka 49 huko Utah, imetangaza familia yake. Taarifa hiyo imesema, aliaga dunia kwa amani siku ya Jumapili, akiwa amezungukwa na familia nyumbani kwake huko Saratoga Springs. Love...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC) Fredrick Parsayo, afariki dunia

    Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC) Fredrick Parsayo, amefariki dunia ghafla leo Ijumaa, Machi 21, akiwa nyumbani kwake Kinoo, Eneo Bunge la Kikuyu. Kwa mujibu wa taarifa ya KBC, Parsayo amefariki katika mazingira ya kutatanisha kwani alikua mzima na hakulalamika kuumwa...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Simon Fisher-Becker afariki dunia

    Mwigizaji Simon Fisher-Becker, anayejulikana zaidi kwa kushiriki filamu za "Harry Potter" na "Doctor Who," amefariki akiwa na umri wa miaka 63. Kifo cha Fisher-Becker kilithibitishwa na meneja wake, Kim Barry. "Leo nimepoteza sio tu mteja katika Simon Fisher-Becker, lakini rafiki wa karibu wa...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Tabitha Siwale , waziri enzi za Mwalimu, afariki dunia!

    Mama Tabitha Siwale, mwalimu na ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Elimu, miaka ya Mwalimu Nyerere, amefariki dunia usiku kuamkia leo. Tetesi zimetolewa na ndugu wa karibu. Mama Siwale ni kati ya mawaziri wanawake wachache waliotumikia nchi bila mawaa! Juzi ilikuwa Prof Sarungi, passing of times
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanasiasa mkongwe Mama Thabita Siwale ameifarik dunia.

    Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu. Msiba uko nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam. Taarifa rasmi itafuata mara tu baada ya kikao cha wanafamilia.
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

    Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu mwenyekiti wa TLP, Zanzibar Hamad Mkadam afariki dunia

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba. Mkadam amefariki ikiwa ni mwezi mmoja na siku nne umepita tangu achaguliwa kuendelea kuhudumu...
  12. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

    Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani Profesa Sarungi amefariki dunia Habari hii imethibitishwa pia na mwanaye Maria sarungi pamoja na msemaji wa familia, Martin Leonard Obwago Sarungi. Prof. Philemon Sarungi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Rorya...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

    Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi simiyu afariki kwa kupigwa na mwalimu. waziri wa elimu lifanyien kazi hiili hii shule wanasema ni mara ya tatu mtoto kufariki

    Mwanafunzi MMOJA amefatriki SIMIYU kwa KUPIGWA na MWALIMU kisa kuchelewa kupeleka hmwk Akiongea kwa huzuni mama MZAZI WA marehemu amesema mwanae alienda shule Alipofika ghafla akapigiwa simu na mwl mkuu mtoto amepata shida akamuuliza shida gan akamwomba aje shule mtoto amedondoka Akamwomba...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo afariki dunia stendi ya Msamvu akisubiri basi

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu akidaiwa kuzidiwa ghafla na homa akiwa anasubiria usafiri wa kwenda Ruvuma. Taarifa ya kifo hicho iliyotolewa leo Jumapili Machi 2, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  16. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili kwenye msiba wa baba yake Mohamed Mchengerwa

    Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa. Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu...
  17. Full charge

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G afariki dunia

    Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake. Voletta...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Muungano afariki dunia

    Sifael Mushi, mmoja wa Watanzania walioshiriki tukio la kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 1965, wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa Muungano, ameafariki dunia. Hii hapa historia yake. Soma Pia: Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki
  20. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Wafula Chebukati afariki dunia

    Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia. Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya Jumatatu, Bw. Chebukati alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja jijini Nairobi baada...
Back
Top Bottom