tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Samson Kibonde, baba yake Ephraim Kibonde afariki Dunia

    Hii imetokea jana asubuhi. Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua. Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha mimi kujiunga na JF. Ephraim Kibonde alikuwa anaongea katika kipindi cha Jahazi kwamba ukitaka...
  2. Muga_Thachamp

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Cherel (Michelle Botes) wa Isidingo afariki dunia

    Michelle Botes, aliyetamba sana kupitia series ya Isidingo the Need miaka ya 2000, amefariki dunia. Michelle Botes, alijulikana kwa kucheza vyema nafasi ya mwanamke muuaji aliyeitwa Cherel De Villiers, na baadaye kuwa Cherel Haines baada ya kuolewa na tajiri Barker Haines, Ambapo katika...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Amos Nnko, Mkurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina, bintiye wafariki ajalini Same

    Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki dunia. Nnko amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
  5. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanazuoni na Mwanasayansi Prof. Anselm Biseko Lwoga afariki dunia

    Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...! Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
  6. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013. Amepigana vita iliyo...
  7. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT) Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k. chanzo >>...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji Frank Patrick (Molingo) afariki dunia

    Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni) maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa Wilaya ya Chato Mkoani Geita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo December 10,2024 akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuguzwa na Mama yake mzazi. Rafiki yake ambaye alikuwa akiishi nae na kumrekodi...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA Emmanuel Majura amefariki Dunia

    Kwa masikitiko makubwa, nawajulisha kwamba ndugu yetu Emmanuel Majura amefariki dunia. Imma alikua mwanafunzi wa mwaka wa pili, akisomea uongozaji wa Filamu Taasisi ya sanaa Bagamoyo (TASUBA), akisomeshwa na GH Foundation. Kwa wale mnaokumbuka Imma amekua na historia ngumu tangu utoto wake...
  11. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    ============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA CCM Wilaya ya Geita yapata pigo, diwani Malimi Saguda afariki dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimepata pigo baada ya diwani wake wa Kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya Geita, Malimi Saguda kufariki dunia. Malimi ameshika nafasi ya udiwani kwa vipindi viwili mfululizo na amefikwa na mauti akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bugando kwa ugonjwa wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbabe wa kivita Liberia, Prince Johnson afariki dunia akiwa na miaka 72

    Aliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa Seneta na Mfalme wa kisiasa, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Msemaji wa familia Wilfred...
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  15. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TANZIA Mgombea CHADEMA nafasi ya Ujumbe Kata ya Gongo la Mboto afariki kwa kipigo cha polisi

    Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Kata ya Gongolamboto, Mtaa wa Ulongoni A, Mgombea nafasi ya ujumbe Modestus...
  16. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Afisa Maendeleo ya Jamiii Ilala Bi Rhoda Mwanyangala apata ajali na Kufariki

    Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa kwenye bodaboda kurejea Nyumbani kwake mara baada ya Gari lililobeba wanafunzi kufeli break muda ambao...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia

    Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile 1969-2024 Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. "Nimepokea kwa...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Rais wa UDSM Mathias Simon "Kipara" amefariki dunia

    Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Kwela, Daniel Naftal ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA ameoneshwa kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais huyo wa UDSM Mathias Simon alikuwa Rais wa UDSM 2010/2011.
  19. econonist

    JamiiForums Tanzania Yasser Arafat alikufa kwa ugonjwa gani?

    Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine wanadai alikufa kifo Cha kawaida. 1. Nadharia ya kwanza: Aliuawa. Wengi kwenye nadharia ya kwanza...
  20. B

    JamiiForums Tanzania ALIYESEMA CCM HAINA CHA KUSEMA AKIPENDA MUNGU NDIYO ISHINDE. AFARIKI DUNIA.

    Marehemu Zawadi Salehe Makame KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Visiwani Zanzibar, Zawadi Salehe Makame, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Radio ya Serikali ya Zanzibar, Zawadi amefikwa na mauti jana Jumanne, tarehe 17...
Back
Top Bottom