tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Trump Mzee wa Distraction: Alisambaza Fake News kwamba Biden ni Clone (Biden wa kweli alikufa 2020)

    Wanakati huku zinakuja News kwamba fortune (Utajiri wa Trump) umeongezeka mara mbili ndani ya mwaka na kwamba alikuwa rafiki wa karibu na molester wa vibinti vidogo Jeffrey Edward Epstein ; Trump akaamua kupost kwenye Platform yake kwamba Biden huyu aliyepo ni Clone... Kweli dunia ya sasa the...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Njombe: Erasto Raphael kabupa mwenye miaka 50 afariki dunia akishiriki tendo na mke wa mtu baada kuzidiwa ghafla

    Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha taarifa za...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Masasi, Edwin Kasembe afariki dunia ghafla katika nyumba yake

    Mjumbe wa Baraza la Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Masasi, Ndugu Edwin Stevin Kasembe, ameaga dunia ghafla katika nyumba yake, mtaa wa Masasi Mbovu, Masasi Mjini. Kasembe, ambaye pia aliwahi kuwa Diwani mstaafu wa Kata ya Namwanga, amefariki akiwa nyumbani kwake, na kifo chake kimeacha simanzi...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa

    Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu afariki dunia akipatiwa matibabu Afrika Kusini

    Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu, amefariki dunia leo, Alhamisi tarehe 5 Juni 2025, akiwa na umri wa miaka 68. Taarifa rasmi kutoka kwa chama chake cha Patriotic Front imethibitisha kuwa Lungu alifariki dunia akiwa katika matibabu maalum katika Hospitali ya Mediclinic Medforum mjini...
  7. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mustafa Songambele (mwanasiasa mkongwe) afariki dunia

    Alhaj Mustafa Songambele(aliyelala) akiwa na Waziri Simbachawene Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Umafia umeanza kukomaa nchini; je, kuna watu bado wanaamini JPM alikufa kwa ule ugonjwa?

    Hili swali nimelikuta huko mtandaoni watu wanajaribu kulitafakari. Je, kwa huu umafia unaoonekana kufanywa na kikundi cha watu wazito kuanza kukomaa na sasa kujionyesha waziwazi kwa raia, kuna watu bado wanaamini rais wa awamu ya 5 alikufa kwa covid au heart disease kama walivyodai?
  10. bhachu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Regis Touba afariki dunia

    Ni kwa masikitiko makubwa kwa wana tasnia wa miziki ya Kongo, mwanamuziki REGIS TOUBA hatunae tena, amefariki mapema leo akiwa kwa Congo Brazzavile. Atakumbukwa kama sehemu ya Muasisi wa kundi la EXTRA MUSICA Ameshiriki katika kutunga nyimbo zenye mafanikio akiwa katika kundi hili, na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa zamani wa CCM Maswa afariki dunia.

    MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM WILAYA YA MASWA AFARIKI. Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Paul Jidayi (pichani) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Maswa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Mwl Onesmo Makota imesema...
  12. Mtanzania1

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kanali mstaafu Ayoub Mwinyimvua Simba afariki Dunia na kuzikwa Dar

    Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  14. mama D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Lala salama mtumishi wa Mungu aliye hai. Nilichojifunza kwako ni kwamba Mungu wetu hawekewi mipaka, yeye humpa karama amtakaye kwa sifa na utukufu wake. Felician V. M. Nkwera Felician Venant Nkwera (alizaliwa Luilo, leo katika Wilaya ya Ludewa, mkoa wa Njombe[1], 28 Aprili 1936 (umri 89)) ni...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

    Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena https://www.youtube.com/watch?v=Y8LcWxXTdv8 ========================= Aliekaa kwenye kiti...
  16. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa bunge la Kenya Charles Were apigwa risasi na kufariki

    Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki. Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa. Papa ambaye alizaliwa mwaka...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

    Kutoka Mtandao wa X ndiyo habari mpya. My take: Simuhukumu lakini kusimamia wasichana kutembea uchi au Nusu uchi kwenye stage Mungu anasemaje kuhusu hilo?
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Siha afariki dunia

    Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini Dar es salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha, Imma Saro...
Back
Top Bottom