tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi CHAUSTA Cha Jemsi Mapalala au alikufa nacho?

    Kiko wapi chama Cha CHAUSTA chama Cha Jemsi Mapalala Hayati Sasa?
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM wilaya ya Mkuranga afariki dunia

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga. Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia...
  3. Doji MD

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

    Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana, Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa Apumzike kwa Amani. https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
  4. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Jaji Frank Caprio afariki Dunia

    Jaji Frank Caprio aliaga dunia kwa amani akiwa na umri wa miaka 88 baada ya vita vya muda mrefu na vya ujasiri dhidi ya saratani ya kongosho. Akipendwa kwa huruma, unyenyekevu, na imani yake isiyoyumba katika wema wa watu, Jaji Caprio aligusa maisha ya mamilioni ya watu kupitia kazi yake katika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mgombea Urais aliyepigwa risasi Colombia afariki dunia

    Seneta wa Colombia na mgombea urais, Miguel Uribe, amefariki dunia miezi miwili baada ya kupigwa risasi kichwani katika shambulio la kulengwa mahsusi lililotikisa taifa hilo la Amerika Kusini. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39 alipigwa risasi tatu — mbili kichwani na moja mguuni — wakati wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baba Mzazi wa Nikki Mbishi Afariki

    Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Nikk Mbishi, amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi, John Marwa Machuche, kilichotokea tarehe 02 Agosti 2025. Msiba ulihudhuriwa nyumbani kwa marehemu, Mzee Machuche, katika Mtaa wa Kwa Makobe, Ukonga. Ibada ya misa takatifu ya...
  7. Tanzaniavate

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia

    Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia “Uongozi ni wito wa kutumikia watu — si nafasi ya kujitukuza.” Maisha ya Job Ndugai kwa Ufupi Jina kamili: Job Yustino Ndugai Tarehe ya kuzaliwa: Januari 22, 1960 Eneo alilotumikia: Mbunge wa Jimbo la...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge...
  9. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanazuoni you mkubwa, Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal afariki dunia

    Kwa kuridhia qadar ya Allah na huzuni kubwa tumeondokewa na Mwanachuoni wetu mkubwa,Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal Aliyefariki Tawfiq Hospital Malindi,Leo. Ni katika watu waliokuwa wamewekwa karibu sana na Al Imam Muhammad...
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama huamini kwamba Yesu alikufa Msalabani, unapitwa na baraka hizi

    Wasioamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu, wanakosa baraka nyingi ambazo Mungu ametupatia kupitia mateso, kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo. Zifuatazo ni baadhi ya baraka hizo kuu: 1. WOKOVU WA ROHO ZETU Biblia inasema wazi: "Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe...
  11. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hassy Kitine, Mkurugenzi wa zamani wa Idara ya Usalama afariki dunia

    Rest in peace Dr Hassy Kitine—the former Director General of Tanzania Intelligence and Security Service (1978-1980). Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mbunge wa Makete na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayesimamia Usalama wa Taifa, Dr. Hassy (Hassan) Kitine amefariki dunia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa la Pili, Karim Rahim (8), afariki Dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia Kamba ya Pazia

    Mtoto wa miaka (8) Darasa la Pili anayefahamika kwa Jina la Karim Rahim amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya Pazia la Dirishani akiwa kwa bibi yake mtaa wa Osunyai Jr maarufu kata ya Osunyai Jr Jijini Arusha (Kwa mama Nairo) jambo ambalo pia linaleta wasiwasi kwa...
  13. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mke wa msanii Mrisho Mpoto afariki dunia

    . Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msanii huyo marehemu alizidiwa ghafla jana na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu, lakini...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Baba Mzazi Wa Mbwana Samatta Afariki

    NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta...
  16. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Afariki siku chache baada ya kuchukua fomu kuwania Udiwani

    Aliyekuwa diwani wa Kata ya Mahuninga amefariki dunia siku chache baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine. Kisogole, alikuwa diwani wa Mahuninga katika Tarafa ya Idodi, mkoani Iringa na amefariki dunia jana Ijumaa...
  18. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

    Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo pendwa nchini. Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA...
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muhubiri maarufu wa miujiza ya watoto Gilbert Deya afariki dunia kwenye ajali ya gari Kisumu

    Mhubiri mwenye utata kutoka Kenya, Gilbert Deya, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea Jumanne jioni karibu na mji wa Kisumu, magharibi mwa Kenya Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, Deya alifariki papo hapo baada ya gari lake kugongana na basi la chuo kikuu pamoja na gari jingine...
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Kichina afariki akimuokoa mama aliyekuwa anazama majini Kigamboni

    Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini...
Back
Top Bottom