tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania TANZIA aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba afariki dunia

    Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba. Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodaboda afariki Kenya baada ya kukamatwa masaa mawili na Polisi

    Utata umegubika kifo cha mwendesha bodaboda Jack Deon Maloba, mwenye umri wa miaka 23, aliyekamatwa Alhamisi jioni tarehe 11 Disemba, na kufariki akiwa katika kituo kimoja cha polisi jijini Nairobi. Familia yake inadai kuwa polisi waliwaambia kuwa Maloba alijiua kwa kutumia fulana, lakini...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, TP Mazembe na AS Vita, Chico Ushindi afariki Dunia

    Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
  4. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mugizaji wa filamu Tagawa AKA kubwa la maadui Amafariki dunia

    Binafsi namkumbuka Tagawa kwenye filamu ya Bridge of Dragons, humu alicheza kama General Ruechang, moja uhusika katili sana, jamaa alikuwa "acheki na wowote" Kwenye hii filamu alimpa mahangaiko sana ndugu yetu Dolph lundgren aliyeigiza kama Warchild Tujikumbueshe hapa kwa kuutazama uhusika...
  5. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makwaia wa Kuhenga afariki dunia

    Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten. Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tagawa 'Mortal Kombat' afariki dunia

    Muigizaji Mkongwe na Producer Cary-Hiroyuki Tagawa amefariki dunia jana Disemba 4, akiwa na miaka 75 Santa Barbara, California Marekani. Tagawa amefariki mbele ya familia yake baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa kiharusi 'Stroke' na taarifa hizo zimedhibitishwa na meneja wake Margie...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania ‎Kiongozi wa Upinzani Cameroon, Anicet Ekane afariki dunia akiwa rumande. Familia yasema haijapewa maelezo ya kutosha kuhusu kifo chake

    ‎Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon, Anicet Ekane (74), amefariki dunia akiwa rumande siku ya Jumatatu, baada ya kukamatwa kufuatia maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Oktoba. Ekane alikuwa Mwenyekiti wa chama cha African Movement for New Independence and Democracy (MANIDEM) na mmoja...
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jimmy Cliff alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutokea Kingston Jamaica Afariki dunia

    Jimmy Cliff alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutokea Kingston Jamaica na ndiye aliyekuwa mashindani mkubwa sana wa Bob Marley. Wote Jimmy Cliff na Bob Marley walivuma sana miaka ya 70 kabla Bob hajafariki. Jimmy amefariki Nov 24 2025 akiwa na umri wa miaka 81. Aliishi miaka 45 zaidi ya Bob Marley...
  9. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji Dharmendra wa India, afariki Dunia

    Muigizaji mkongwe wa Bollywood Dharmendra Kewal Krishan almaarufu ‘He-Man’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89 leo Novemba 24, 2025. Dharmendra ambaye mmoja wa waigizaji maarufu zaidi katika historia ya sinema ya India ameshiriki filamu nyingi za kihistoria kama Sholay (1975), Phool Aur...
  10. Twilumba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyepigwa risasi ya kifua na baadaye kugongwa na gari ili kupoteza ushaidi azikwa kwa bashasha Tarime

    Dada mange huyu mwenzetu alipigwa risasi kifuani alafu wakamgonga na gari ili kupoteza ushahid, hii ni Tarime, hii siku wamemleta marehemu vijana walikua na uchungu atari. Tulikuwa tunalia huku tunaimba. Tuko tayari kupambana na serikali kwa hali yoyote mpaka tupate haki kwenye nchi yetu, ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Magufuli alikufa kifo cha kawaida?

    Kwa yanayoendelea nchini, mauaji ya wazi kwa raia na vitendo vya utekaji bila Rais kukemea - ni kweli Magufuli alikufa kifo cha kawaida? Yaani, inatafakarisha sana: 1) Aliyetutangazia kifo cha Hayati Magufuli ni SAMIA. 2) Aliyesema Magufuli alikufa kwa COVID (Hakukuwa na taarifa ya kina juu...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mussa Aboud Jumbe afariki dunia, usiku wa kuamkia leo

    Mtoto wa aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Marehemu Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, ndugu Mussa Aboud Jumbe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumanne, Oktoba 21, 2025, huko kwao Migombani, Visiwani Zanzibar. Marehemu Mussa Aboud Jumbe aliwahi kuhudumu kama...
  14. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Je tumejifunza kwa Odinga? Maaana juzi hapa mtu mmoja alikufa watu wakashangilia sana

    📌Ukitizama kwa umakini maombolezo ya Hayati Raila Odinga unaona kabisa kuna ujumbe unatumwa kwa viongozi wetu wengi wakiwa katika nafasi zao. 📌Kuna mambo unaweza Fanya halafu ukiondoka familia yako itaishi kwa raha sana ila kuna mambo unaweza fanya ukiwa katika uongozi watu wakisikia tu jina la...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwanamke afariki dunia Morogoro akijaribu kutoa ujauzito

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito. Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama haya yasitokee? Chanzo: Azam Tv
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Jane Goodall, rafiki na mtafiti wa sokwe hifadhi ya Gombe afariki dunia

    Dr Jane Goodall, mtaalamu mashuhuri wa masuala ya sokwe na mwanaharakati wa uhifadhi, amefariki dunia, kwa mujibu wa taasisi yake ya uhifadhi. Alikuwa na umri wa miaka 91. "Taasisi ya Jane Goodall imepata taarifa asubuhi ya leo, Jumatano, Oktoba 1, 2025, kwamba Dkt. Jane Goodall DBE, Mjumbe wa...
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia

    Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma nchini Italia. Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 08, 1957 Mkoani Kagera nchini Tanzania, aliwekwa wakfu katika Daraja...
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania TANZIA Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    Charlie Kirk, aliyejulikana kama mwanachama mkuu wa mrengo wa kulia na mwanzilishi mwenza wa Turning Point USA, aliuawa kwa risasi tarehe 10 Septemba 2025, katika tukio linalochukuliwa kama moja ya dalili za ongezeko la vurugu za kisiasa nchini Marekani. Tukio hilo linapelekwa kwa uchunguzi wa...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Legend na fashion icon Giorgio Armani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 91

    Aliyekuwa Godfather wa mitindo nchini Italia, gwiji na nguli wa mitindo duniani bilionea Giorgio Armani aliyezaliwa katika mji wa Pianceza nchini Italia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alianza kazi zake miaka 50 iliyopita jijini Milan jirani na mji aliozaliwa kwa kuanzisha Giorgio...
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwimbaji wa Nyimbo za Injili wa Rwanda, 'Gogo' afariki dunia akiwa na miaka 36

    Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Rwanda, Gloriose Musabyimana, maarufu kama Gogo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 36 nchini Uganda. Taarifa zinasema alifariki usiku wa Septemba 3, baada ya kuugua kwa muda mfupi alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini Kampala. Ingawa sababu kamili ya...
Back
Top Bottom