tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  2. Theodora

    JamiiForums Tanzania Wakeup Call Air Tanzania mpo

    Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft...
  3. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Tanzania kwa kinachoendelea Iran-Israel

    Waziri mwenye dhahama atoe msimamo wa Tanzania kwa uonevu unaendelea huko Iran-Israel. Ikibidi tutume Timu ya wasuluhishi 300 (Zanzibar 150, Tanganyika 150) waende huko kwa siku 30. Ni muhimu wawezeshwe kifedha pia wapewe ndege moja ya ATC. Wabillah Taufiq
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ideas that will boost growth and development in Tanzania

    Ideas that will boost growth and development in Tanzania. 1) Maximum presidential terms, should be three terms of five years each, and not the current two terms. 2) If there are plans for a new constitution, then it should be noted that rasimu ya Warioba is not perfect, it needs more...
  5. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi jamii ya sasa ya Tanzania kuna watu wana maadili, malezi bora, Imani na lugha za staha?

    Maadili ni neno pana ila linaloeleweka kiasi kwamba ukizungumza kuhusu maadili kikawaida mtu atafikiria moja kwa moja matendo mema Katika jamii ya sasa ya kitanzania sijui kama kuna watu wema wenye matendo mema, lugha za staha, malezi bora na mavazi ya heshima kama wapo ni asilimia chache sana...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu wa Tanzania George Masaju apendekeza kuwepo kwa mahakama za rufaa katika mikoa yote ya Tanzania

    Jaji Mkuu ameyasema hayo leo mara baada ya kula kiapo. Amepend2keza kuwepo kwa Mahakama ya Rufaa kwa kuanzia na Mikoa ya DSM, Mbeya na Arusha ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati kuliko ilivyo sasa hadi majaji kutoka Dodoma watembelee jambo ambalo linachelewesha haki za wananchi...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mimi Dennis Robert Shughuru sina miaka 40 ya kugombea Urais wa Tanzania kama isemavyo katiba ya Tanzania natangazaje nia???

    Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
  8. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu, nimevumilia ila uzalendo unanishinda

    Moyo wangu unaniuma, Najiona mwenye hatia, Sina raha nalazimisha tabasamu, Mimi Jack Daniel ni mwanachama wa chama cha mapinduzi Kwa miaka 23 mpaka leo hii. Nakumbuka nilichukua kadi hii kwasababu kuu mbili, Kwanza ilikuwa kujihakikishia ajira ya kudumu maana adui akikushinda nguvu mpishe...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Twendeni kwenye page za FIFA na CAF tukaishataki Tanzania kuingiza siasa kwenye mpira ifungiwe Ili taifa likombolewe

    Katika kitu ambacho tunatakiwa kukifanya mwaka huu ni kuishitaki tanzania kuingiza siasa kwenye simba na yanga Ili nchi ifungiwe kwama Kenya ilivyofungiwa sasa twendeni Kwa wingi wetu tukacoment Ili nchi ifungiwe kujihusisha na soka nafikiri itaondoa uzombi wa watanzania sababu picha za mkuu wa...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    Baada ya Mh Rais kuingiila utendaji wa TFF jambo lilopelekea baadhi ya viongozi wa bodi ya ligi kujiuzuru na wengine kufukuzwa sasa tusubiri kifungo kutoka FIFA Si https://www.youtube.com/watch?v=dfKDTNeySwU
  11. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya huu upuuzi wa Sisiemu kuingilia mpira wa Tanzania Rasmi nimeamua kuachana na mambo ya mpira wa simba na yanga

    Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club.. Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu. Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na mwenzake Dalali.. Mimi kama kijana naamua Rasmi kuanzia tarehe ya leo kufanya bidii katika biashara...
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa. Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao. Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Trump anaweza kutoa mkeka wa Nchi 36 zitakazopigwa marufuku kuingia Marekani, Tanzania yadaiwa kuwepo

    Trump Kufikiria Kuongeza Nchi 36 Katika Orodha ya Marufuku ya Kusafiri, Ikiwemo Nchi za Afrika na Karibiani – Ripoti Utawala wa Donald Trump unafikiria kuweka vikwazo vya usafiri kwa nchi nyingine 36, kulingana na waraka uliosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ambao...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa ashinda rufaa dhidi ya Serikali. Vifungu vilivyowabana wananchi kufungua kesi zenye maslahi ya umma na kumshtaki Rais vyafutwa!

    Wakuu, Kwa wale wapenda demokrasia na utawala wa sheria leo itakuwa siku nzuri sana kwao =========== Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeamua kufuta vifungu vya sheria vilivyokuwa vinazuia watu kufungua kesi zilizobeba maslahi ya umma. Uamuzi huo umetolewa katika kesi Rufaa Na. 134 ya mwaka...
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini ndio waasisi wa siasa na ubunifu wa fikra za kupigania uhuru Tanzania. Sitoacha kufanya siasa

    Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo geni. Katika Historia ya nchi yetu, chama cha kupigania uhuru kimeanza 1929 cha Africa Association...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

    Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla. lakini iran ni...
  18. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ndege zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa za upekee

    Nikiwa Rais wa Tanzania ndege zitatengenezwa hapa nchini Zifuatazo ni sifa za ndege zitakazotengenezewa Tanzania;- Zitakuwa zinatumia motor kama engine Motor hizi ni za kipekee sana zinltakuwa na utofauti na motor zinazotumiwa na magari au rockets Battery zitakuwa na uwezo wa kurecharge huku...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
Back
Top Bottom