Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Halafu Matajiri wanamuweka Rais wetu mfukoni kwa Gharama ya Bilioni 10 kwa mgongo wa Harambee ili waendelee kuchota maji.
Hata hawataki tujue maji yanawaka
Sisi ndio Host kwenye haya mashindano...na mwenyeji ana haki zake...
Haki zake ni pamoja na kuhusishwa kupanga muda sahihi wa mechi kuchezwa katika nchi yake.
Kucheza saa mbili usiku sio desturi yetu...hili ni jambo geni..na hata inapotulazimu kucheza bas iwe as emergency...isiwe ndio...
Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM,
Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme.
Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
Hivi Tanzania kuna mji una utulivu kuliko Tanga ? Halafu wanapenda mapenzi sana😃 saa 1 ya usiku haukuti mtu barabarani , soda zao , usafiri wa pikipiki hauukuti popote
Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi watu wanakaza mafuvu tu kutokana na ubinafsi wao wewe mtu kama Mkapa ona baada ya kukabidhiwa nchi tu...
Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi na taifa la wanariadha la Kenya!
Nimeshangaa hata mechi za timu ya Ibrah Traore (Burkinafaso)...
Jina la Kanali Alexis Kanyarwenge sio maarufu Sana Kwa Sasa kwenye siasa za Maziwa Makuu au Afrika Mashariki, ila ndio chimbuko la mabadiliko yaliyopo Rwanda kwa Sasa.
Kanali Alexis Kanyarwenge alikuwa muhutu katika jeshi la Rwanda kipindi Cha utawala wa Rais Habrarimana. Rais Habrarimana...
Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside.
Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya watanganyika. Je ni Zanzibar heroes ndo imefuzu chan kuna wataalum wengi wametemwa kutoka bara mtu kama...
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?
2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.
NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea...
Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe:
✅ Wa amani – Usio na vurugu wala chuki
✅ Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe
✅ Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja...
Huwa hawakurupuki kufanya Jambo lao
Ni kanisa lililojaa majasusi mpaka wavaa baragashia.
Hawa ndio serikali kubwa kuliko zote duniani.
Hawana ndio wanashikilia uchumi wa dunia kupitia kupitia mifumo ya kibenki wakishilikiana pamoja na Israel.
Je wajuwa ndio usimika Ma-Rais wa nchi zote...
Wakuu, kama kuna picha za maeneo mbalimbali za Tanzania naomba tuje kushare hapa tupate kuona mandhari mbalimbali ya Tanzania
Post kuanzia miji, vijiji hadi vitongoji.
Naanza
1. ARUSHA
Hapo ndio Chuga
2. MWANZA
Jiji safi kabisa kutoka kanda ya ziwa
3. MBEYA
Jiji zuri la nyanda za juu...
Taifa Stars Kufunga Kundi B CHAN 2024 Leo
Leo, Agosti 16, 2025, Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inashuka dimbani kumenyana na Central Africa (Jamhuri ya Kati) katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya CHAN 2024, Kundi B.
Stars tayari imejihakikishia tiketi ya kusonga hatua...
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
Upinzani hawana hoja siyo wabunifu, wanatafutiza tafutiza tu hoja.
Gwajima anawatapeli wanachekelea tu hebu kuweni na akili, you have to be innovative jifunzeni kujitegemea jengeni hoja Kama mnazo lakini kwa serikali hii ya awamu ya 6 hakuna hoja kwasababu kila kundi limetatuliwa changamoto...
PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akikagua gwaride la Amani.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka leo amehitimisha na kufunga mafunzo ya wiki miezi 4 ya askari 114 mkupuo wa 20 wa jeshi la Akiba yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Mvumi.
Akizungumza na...
Yeah , kujipendekeza kwa watawala, kushangilia mafisadi wakitumia pesa hovyo na hata kukubali kuhongwa baiskeli,pikipiki n.k ambazo obviously zimenunuliwa kwa kodi zetu tunazokamuliwa kila uchao. Mnaweza kuwabagaza walioelimika na wasomi nguli hawajionyeshi wala kujitokeza kwenye majukwaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.