Tanzania bado inahitaji ukombozi wa kifikra

Tanzania bado inahitaji ukombozi wa kifikra

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,394
Ukombozi mkubwa na muhimu uliohitajika Afrika ni ukombozi wa KIFIKRA na siyo kupigana vita kama ilivyofanya Tanzania ndani ya Afrika.

Ukombozi uliofanywa na Tanzania ni kiini macho kwani Waafrika bado ni watumwa na wamechoka kimaisha hadi pale watakapojikomboa KIFIKRA wao wenyewe kwa kukaa chini na kutafakari juu ya siasa za demokrasia ambazo hamna duniani kote.

Demokrasia na dini ndiyo mizigo kwa Waafrika kwani inawapa wachache maisha mazuri kwa kiwanyonya wengi chini ya misingi ya serikali kupitia viongozi wenye tamaa.

Tujitafakari!!
 
So mfumo Bora ni upi Sasa kati ya democracy na Ujamaa na Je kama hiyo mifumo yote ni mibaya

Upi Sasa ndio unapaswa kuwa mfumo sahihi !?
 
So mfumo Bora ni upi Sasa kati ya democracy na Ujamaa na Je kama hiyo mifumo yote ni mibaya

Upi Sasa ndio unapaswa kuwa mfumo sahihi !?
Ukiondoa mifumo ya ubebari,ubeberu na dini utabakiwa na mfumo wa UJAMAA ambao hauhitaji PESA hivyo utakuwa huna SERIKALI duniani.

Uwe unafikisha ubongo wako mara mojamoja siyo kila kitu uulize utafuniwe
 
Back
Top Bottom