tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Exploring Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, and Ajira Jobs Portal August, 2025

    The President’s Office Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) has announced several important updates on the Ajira Portal for job seekers and stakeholders. Job Vacancies Announcements The Ajira Portal is a centralized platform designed and managed by the Public Service Recruitment...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Artificial intelligence inaweza kutumika kutunza lugha,mila na destuli zinazotoweka Tanzania na kuzihifadhi

    Kuna baadhi ya mila, desturi na mila zinapotea kwa kasi, hasa makabila madogo. Mfano wachaga walikuwa na utamaduni wa kuchinja mnyama kisha zile nyama wakaziweka eneo la makaburi, asubuhi pakikucha wanaamini wazee wamekula kumbe mbwa wamepita nazo. Nashauri artificial intelligence itumike...
  3. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Oooooooooh Tanzania

  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nahisi Tanzania inaongoza kwa furaha duniani

    Nchi Fulani watu wanapenda mpira na burudani muda wote kula bata Tu Kwa hiyo hamtaweza kumpindua mama Samia labda polepole ajage kufanya maajabu awe rais na polepole me namjua ninkweli mzalendo nakumbuka chuoni alituita viwanja vya mnazi mmoja watu wa uvccm kichuo..jamaa ana points vibaya mno za...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

    Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sowah, anakipaji anapaswa kutunza kipaji chake kwa Nidhamu na siyo kuvunja heshima ya watu wengine

    Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hati Ya Kuvunjwa Rasmi Kwa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa Hati ya Kuvunjwa Rasmi kwa Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Mwaka 2025 Ili Kuruhusu Kufanyika kwa uchaguzi. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara na imekuwa ikianzisha tozo au kodi mbalimbali ambazo zinalenga kumkandamiza mfanyabiashara au...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania is a strong team, imethibitisha hilo leo kwenye mechi ya ufunguzi

    Tanzania imethibitisha kuwa ni timu imara na imedhamiria kupambana na kushinda kombe la CHAN. Tumefurahishwa sana i jinsi wachezi wetu wote walivyo cheza kwa bidii na maarifa na kupata ushindi wa mabao 2. Sisi mashibi wazalendo tutaendelea kushangilia bila kuchoka. Huu ndio mwaka wetu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kimataifa yashangaa Jinsi Lisu anavyotendewa na Watawala wa Tanzania

    Jamii na vyombo mbalimbali vya kimataifa vinashangazwa na utawala wa Tanzania namna wanavyominya haki za watanzania, na jinsi wanavyomfanyia uharamia Tundu Lisu. Washangazwa jinsi Lisu anavyozongwa na askari waliojificha nyuso zao kama vile wamemzunguka gaidi wakati Lisu ni mtetezi wa haki...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kutatengenezwa Multiplanetary rockets hapa Tanzania inayoweza kubeba mzigo kati ya tone laki 5 na tone million 10

    Moja ya njia ya kuweza kufaidika na space economy ni kutengeneza Multiplanetary rockets itakayokuwa na uwezo wa kubeba tone million 1 na zaidi it sound awkward ila lazima iwezekane Hizo rockets zitakuwa za aina nyingi na tofauti na kwa ùchache zitakuwa na sifa zifuatazo Kiwango cha chini cha...
  12. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia aipongeza Tanzania kushiriki Maonesho ya 97 ya Kilimo na Boashara Zambia.

    Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ameipongeza Tanzania kwa kushiriki katika maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara ya Zambia ambayo yametumika kama jukwaa la kuimarisha ushirikiano wa kiafya na usafirishaji baina ya nchi hizo mbili. Pongezi hizo amezitoa leo Agosti 02, 2025 jijini...
  13. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Registered hospital for sale,located at Tandika, Temeke Dar es salaam Tanzania,price tsh 1billion

    #hospitalforsale REGISTERED HOSPITAL FOR SALE LOCATED AT TANDIKA, TEMEKE DARESALAAM. Complete x ray room, no x ray modality. ULTRASOUND MACHINE -four probes -curved probe - linear probe -echo probe -TVS probe Dressing room 1, Theater changing room 1, Autoclave room 1, OPERATING THEATER...
  14. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Kama kijana unaejitafuta na unahisi umefikia wakati wa kuoa, hizi hapa ni aina za wanawake wetu Tanzania

    WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
  15. Ad majorem

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania haikujiandaa kuwa mwenyeji wa fainali za Chan, 2025?

    Kwa Wananzengo wenzangu. Kama mnavyofahamu kipenga cha kufungua Michuano ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani maarufu kama CHAN kwa mwaka 2025, kinapulizwa leo kwenye ardhi ya Kambarage wa Butiama. Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa fainali hizi. Lakini katika hali ya...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado tunahali ngumu sana

    Kumekuwa na takwimu za vichocholoni hizo takwimu hazina uhalisia wowote tusijipe matumaini kwa mambo ambayo hayapo ♧ Deni la taifa lipo juu na linazidi kukua kila siku kutoka asilimia 28 hadi 40 kwa miaka minne tu ♧ pamoja kuwa na rasilimali nyingi lakn bado tunategemea misaada kutoka nje...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo achaguliwa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409. Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kufanikiwa labda wabunge wasiwe wasomi, maprofesa,nk

    Nasema hivyo kwa maana kuwa wasomi wa Tanzania ndiyo wanaongoza kwa kutofikiria na wametanguliza masilahi yao kiasi kwamba hata ndugu/familia zao hawawajali wamekalia uzungu na usasa badala ya kuisaidia jamii inayowazunguka kupitia ujuzi/elimu waliyonayo. Sasa kama msomi hawezi kuitumia elimu...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 2-0 Burkina Faso | Mechi ya ufunguzi CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 2, 2025 | Saa 2 Usiku

    Wakuu! Leo Agosti 2, 2025 pazia linafunguliwa rasmi kwa Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, ambapo Tanzania itavaana na Burkina Faso katika mchezo wa ufunguzi utakaochezwa saa 2:00 usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Michuano ya CHAN...
Back
Top Bottom