tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Amin nawaambieni, ikiwa Samia ataendelea kuwa na Wanamtandao na akashinda Uraisi, raisi wa Tanzania ajae baada ya Samia atakuwa Rizi One

    Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina. Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu na uwezo wa kundi hili katika kuendesha hii nchi yetu. Kwa sasa hawa jamaa ndio wanaamua kila kitu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania tusivilaumu, vinaogopa kufungiwa, ukiacha machawa wachache

    1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali 2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya. 3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani wanaogopa wrath of this dictatorial gov. 4. Ukiacha akina Balile et al .....wengine wanaogopa kufungwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!

    Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mobhare Matinyi afanya mazungumzo na waziri wa mambo ya nje wa sweden jijini stockholm

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Balozi Mobhare Matinyi, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Mhe. Maria Malmer Stenergard, katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje jijini Stockholm, leo tarehe 22 Agosti, 2025. Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Matinyi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepewa red cards mara tatu kati ya mechi tano ilizocheza na Morrocco

    "Morrocco have influence in CAF to manipulate the match scheduling and officiating" Hayo ni maneno yaliyotamkwa na aliyekuwa kocha wa Tanzania Adel Amrouache baada ya mchezo kati ya Morrocco na Tanzania tarehe 17/01/2024 Tanzania amekuwa hana record nzuri anapokuwa akikutana na Morocco kwani...
  6. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Wadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke. Asanteni wadau.
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Shetta: Wasanii Tanzania ni makada watiifu wa CCM

    Wanaosema wasanii wanaingia kwenye siasa ili kunufaika ni mtazamo tofauti kanuni na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni mwanachama ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwahiyo mtu yoyote ana haki hiyo. "Na sisi tumekuwa kama kundi la wasanii na watu maarufu wengi tumekuwa wanachama na...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia umekuwa compromised kwa faida ya majinga ma CCM hitimisho langu kuu ni kwamba Hakuna Nchi yenye Watumishi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Credit Rating Agency kama Fitch na Moody`s hawawezi kuipendelea Tanzania wao kama ni nyeusi wanaita nyeusi hata Marekani wanaishusha

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s, Fitch na Standard & Poor’s, na wote wamethibitisha kuwa uchumi wa Tanzania ni imara, himilivu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bunge la wananchi linaruhusiwa Tanzania

    Habari wakuu Kuna suala la wananchi kukutana na kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali yanayotokea katika nchi upande wa siasa, jamii na uchumi. Kwa wenzetu nchi jirani, wananchi wana maeneo maalum yametengwa maalum kwaajili ya shughuli ya kutoa maoni na ushauri ,mfano pale Nairobi (Jacaranda...
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

    SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu Nimepata majibu wanajua Tanzania ni...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania dhidi ya Morocco 🇲🇦 kesho halafu Mwanetu DAHANE kapewa tena mechi ya kesho Wanangu😀

    TUPE R A HA YANGA DEHANE WETUUU KARIBUHUH SANAAA BWM ULITUKIMBIA UKAENDA AMAN NW TUNAKUKARIBISHA SANAA SANAAA
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania KURA HURU: Mgombea yupi ungetamani awe Rais wa Tanzania 2025 - 2035

    ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania. Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki na wengine wapo katika mchakato. Wewe kama mchangiaji huru piga Kura yako kuchagua Rais unayemtaka.
  14. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Bishoo Tanzania sasa inapatikana Play store

    "Katika dunia ya sasa, kila kitu kinapaswa kuwa karibu nawe kwa urahisi. Ndiyo maana Bishoo Tanzania inakuletea soko la kidigitali lililotengenezwa kwa ajili yako. Unataka kuuza bidhaa zako, kununua unachohitaji, kupanga nyumba, kubadilishana vitu, au hata kutafuta kazi mpya? Bishoo Tanzania...
  15. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

    Tukutane tarehe 16 Septemba ni Simba SC vs Yanga SC
  16. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Tanzania, ipo kwenye mchakato wa Kubadilishwa

    A young man to Provide wisdom to some people ...who will begin to seek wisdom from him...on how the Direction of the Country will be mapped.... The Young Man they will take from one location to another ...and now is sat at the Location now...and they have been listening and asking him... though...
  17. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila yote Tanzania.

    Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza... nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila zaidi ya 125 yanayopatikana Tanzania. Ukweli ni kwamba haitawezekana kwa makabila yote kutokana na aina ya lugha zenyewe, mfano HADZABE. Kwa wasiofahamu, AI Wrapper kwa lugha nyepesi, ni kuunda mfumo wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Prime Mushrooms Tanzania; Wataalamu wa uzalishaji wa mbegu bora za uyoga.

    Prime Mushrooms Tanzania ni kampuni inayoongoza katika uzalishaji wa mbegu bora za uyoga nchini. Tunajivunia kutumia sayansi na teknolojia ya kisasa kuhakikisha tunazlisha mbegu zenye kiwango cha juu, salama na zenye matokeo ya uhakika kwa wakulima wa uyoga. kwanini uchague Prime Mushrooms...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kinacholeta maendeleo sio ukubwa wa nchi au rasilimali, ebu angalia nchi ndogo kama Finland inaisadia Tanzania!

    Ukiangalia kwa undani utajua kuwa nchi za watu weusi hazina watu wenye akili . Inawezekana vipi kanchi kadogo Kama Finland kakawa kanatupa misaada.!!?
  20. Now and then

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya ilionesha wazi kuwa Tanzania Mahakama zetu zinafanya kazi kimalekezo

    Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
Back
Top Bottom