Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO
Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu, miradi mikubwa ya maendeleo na miradi ya msingi (Grassroots projects), na kilimo ikiwemo ukuzaji wa...
Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni. Tahadhari hii michezo sio ajira, cheza kwa kiasi ambacho ukipoteza hutaumia , ba jua ni muda upi unatakiwa kumpumzika.
Casino maarufu zaidi Tanzania
1. Aviator Hii inawachezaji kila kona ya nchi , kumbuka kila kmpuni...
Sisi tuna watu, sisi tuna serikali. Makampuni, Viwanda na Taasis hazithubutu kuenda kinyume na matakwa yetu.
Tunaweza waambia tu watu wa Bank waongeze makato kwenye huduma zao. Yakaongezeka. Tunaweza waambia watu Mitandao ya Simu wakaongeza gharama za bundle au data. Tunaweza waambia watu wa...
Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala.
Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi wameondoa yoga na kusema liwalo na liwe.
Hii tabia ya kuwateulia wagombea wa majimbo na wakubwa Wacha he...
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo.
Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
📊 TAFITI ZINAONESHA!
✅ 75% ni Wajasiriamali
✅ 15% ni Wawekezaji
✅ 7% ni Wanamichezo
✅ 3% ni Wasanii
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu
👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza...
Ninapoongelea nguvu ya Mtandao, au wengine wakiuongelea, watu wengi wanachukulia kama mzaha. Sasa ngoja niwape habari za ndani kidogo.
NI kwamba, kabla hajafa, Nyerere aliweka msimamo thabiti kwamba Kikwete hakuwa kiongozi aliefaa kuwa raisi wa Tanzania. Ilionekana wazi kwa Kikwete na kundi...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzenu,pamoja na mambo mengine yote,mimi pia ni Mkristo Mkatoliki, ila Ukatoliki wangu, ni wale Wakatoliki tulioendelea endelea, kwa Lugha ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Kwa maelekezo ya Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania, TEC, Kanisa Katoliki Tanzania,na...
Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina.
Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu na uwezo wa kundi hili katika kuendesha hii nchi yetu. Kwa sasa hawa jamaa ndio wanaamua kila kitu...
1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali
2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya.
3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani wanaogopa wrath of this dictatorial gov.
4. Ukiacha akina Balile et al .....wengine wanaogopa kufungwa...
Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Balozi Mobhare Matinyi, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden, Mhe. Maria Malmer Stenergard, katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje jijini Stockholm, leo tarehe 22 Agosti, 2025.
Katika mazungumzo hayo, Mhe. Balozi Matinyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.