tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwaya za Kisabato Tanzania zimepotea kwenye Ramani ya uimbaji kutokana na kuiga uimbaji wa Kwaya ya Ambassador ya Rwanda.

    KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore

    Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore Miongoni mwa maeneo ya ushirikiano ni masoko ya mazao ya kilimo, elimu na mafunzo kwa vijana, nishati jadidifu, na uchumi wa kidijitali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), Agosti 26, 2025

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Polepole ataongea tena, tutapata uchungu zaidi lakini je, ni nani wa kutuokoa?

    Kichwa kimekuwa kizito baada ya kumsikiliza ndugu Polepole, kuna nyakati unakutana na habari ngumu usiyo na majibu hata unaona bora usingeijua...! Ni dhahiri kuwa haitatokea mgombea mkuu wa Nafasi ya Urais kwa sasa kujitoa, wala chama chake kutengua maamuzi, lakini pia hakuna mbadala sahihi wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Morocco Yaingia Fainali CHAN, Niliwaambia Tanzania Haikuonewa Mkanitukana

    Rangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati. Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa elimu online hapa Tanzania

    Naomba kujua vyuo vikuu vinavyotoa elimu online hapa Tanzania tofauti na Open University
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

    Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari? Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu. Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
  10. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama anajiamini kwanini hakuchukua fomu ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi?

    1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ?? Anahofia nini ? 2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have kwa myaka 15 on roll ?? What makes her special to that extent ? ..why anadharau Watanzania wengine...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Samia: Documentary Yaleta Mzozo

    Kesho, Agosti 27, macho ya Watanzania yatageukia ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambako kutafanyika uzinduzi wa “documentary” maalum iitwayo Tanzania ya Samia. Kazi ambayo imetangazwa rasmi na mtangazaji wa Clouds FM, Meena Ally, ambaye pia ni miongoni mwa waliopata nafasi ya...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Shirika La Reli Tanzania (TRC)

    Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri. Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa. Kwa mara zote...
  14. Fascinating

    JamiiForums Tanzania AI Zinazotumika Zaidi Ulimwenguni Mwaka 2025, Unajua kwa hapa Tanzania ipi inaongoza?

    ChatGPT ndio inayoongoza kwa matumizi ya AI kote ulimwenguni mwaka 2025, ikiwa na alama ya jumla (Final score) ya 0.81 na watu zaidi ya mara bilioni 46.59 wanaoitembelea kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa asilimia 48.36% ya soko zima la matumizi ya akili mnemba (AI) linamilikiwa na ChatGPT. Maoni...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mali za mtoto wa Rais, Abdul Hassan zimeandikwa kwa Majina ya China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania

    Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania. Nchi inamegwa halafu wanaweka majina ya Wengine Britanicca
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama yanayosemwa ni kweli Tanzania ndio nchi inaongozwa kutafunwa

    Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana. Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa...
  17. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Tanzania – Tujifunze kwa Norway jinsi Inavyogawa Utajiri wa Taifa kwa Wananchi Wake.

    Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
  18. will93580

    JamiiForums Tanzania Technology

    Has technology improved the overall quality of life in the 21st century?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania umekamatwa na sekta binafsi wanamiliki trilioni 54 kati ya 77

    ==Kuongezeka kwa rasilimali za sekta binafsi nchini kunatafsiri sera madhubuti za Rais Samia katika kukuza Uchumi shindani na jumuishi ,Mwaka 2020 thamani ya rasilimali zote za Serikali, Mashirika na Taasisi nchini Tanzania thamani yake ilifikia TZS 60.12Trilioni wakati rasilimali za sekta...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu/wasomi ni wajinga mno katika nchi hii ya Tanzania

    Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini?? Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
Back
Top Bottom