man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 464
- 319
Habari wakuu
Kuna suala la wananchi kukutana na kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali yanayotokea katika nchi upande wa siasa, jamii na uchumi.
Kwa wenzetu nchi jirani, wananchi wana maeneo maalum yametengwa maalum kwaajili ya shughuli ya kutoa maoni na ushauri ,mfano pale Nairobi (Jacaranda, jevanjee) mwananchi ana uhuru wa kikatiba kuzungumza kama yupo bungeni pasipo kuwa matatizoni.
Nimetoa hiyo case study sababu sijafatilia wenzetu waliobaki utaratibu wao ukoje.
Nimejaribu kuangalia katika mazingira ya nchini kwetu miongozo ya Sheria ya Mikutano ya Hadhara (Public Meetings Act) inaruhusu wananchi kufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kutoa maoni, mradi tu waandaji watoe taarifa kwa mamlaka husika, mara nyingi ni Jeshi la Polisi.
Nimebaki kutabasamu tu. Hao jamaa mnadai vyeti feki, ile nyingine mnasema failure wana power kubwa ni vile mnanawachukulia poa