tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Deni la tanzania ukilinganisha na nchi nyingine za afrika mashariki

    Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa deni la Tanzania mpaka kufikia 2024 ndilo deni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Tanzania Yaleta 'Elite Banking' Arusha na Kilimanjaro

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akizungumza na wateja wake kuhusu kuisogeza huduma ya Elite Banking kwa wateja wa Arusha na Kilimanjaro, huduma inayowapa wateja fursa za kipekee za kifedha, ushauri wa kitaalamu, na upatikanaji wa huduma za kibinafsi...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Exports za Tanzania kwa nchi za SADC zaongezeka kwa zaidi ya mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Mauzo ya Tanzania katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) yameongezeka mara mbili kati ya mwaka 2021 na 2024, yakichochewa na maboresho ya miundombinu ya biashara, juhudi za kiserikali katika kukuza biashara, ujumuishaji wa kikanda, na upanuzi wa wigo wa bidhaa zinazouzwa nje...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya wagombea urais hawaielewi Tanzania, wala hawajui mahitaji ya watanzania

    Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana yake wanaleta ndoto ambazo hazina kazi kwa watanzania. Mathalani, mtu analeta ahadi ya kuzalisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania "Regime Change" kwa Tanzania haiepukiki tena!

    Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana. Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke...
  7. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  8. veyra

    JamiiForums Tanzania Niliahidi Sitacheza Tena Tanzania, Lakini Singida Imenibadilisha – Aucho

    Kiungo wa kimataifa kutoka Uganda, Khalid Aucho, amethibitisha rasmi kuwa ataichezea klabu ya Singida Black Stars, licha ya awali kutangaza hatacheza tena kwa timu yoyote ndani ya Tanzania. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aucho amesema amebadilisha msimamo wake baada ya kuona...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

    Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  11. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni?

    Hivi kama wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni? 😂
  12. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania (UWABATA):CHA CHA WANAUME BAHILLI TANZANIA

    HARUSI YA MAANA SANA HII 💪💪💪 Lenga lililo la maana, acha lisilo na faida ✍️✍️✍️ Katika maisha ya kila siku, kuna mambo mengi yanayoweza kutupotezea muda na nguvu bila faida. Kuepuka mambo yasiyo ya msingi ni hatua ya hekima inayotusaidia kulenga malengo makuu, kuongeza tija, na kuepuka...
  14. jangoma

    JamiiForums Tanzania Je NordVpn inafanya kazi Tanzania

    Wadau hamjambo, je nord vpn inaconnect vizuri ukiwa Tanzania au na yenyewe imeblockiwa?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wenye akili waliobaki Tanzania ni wasiyojihusisha na siasa au dini

    Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu wengi magenius sana wenye IQ kubwa hususani vyuoni lakini serikali halijui jinsi ya kuwatumia

    Mbeya University of Science and Technology (MUST) Hiki chuo mnakifahamu? Moja ya vyuo vyenye watu magenius hapa Tanzania ni pamoja na hiki chuo. Ubunifu unaofanyika kwenye hiki chuo unaweza sema ni wanafunzi wa Kichina, kumbe ni wa hapahapa Bongo. Kwa mtu anayejua chuo cha MUST nadhani...
  17. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali inabidi kuruhusu uchunguzi huru hapa Tanzania

    1. Ugonjwa wa ghafla uliompata "Edward Lowassa" kuelekea 2015 2. Kifo Cha Chacha Wangwe. 3. Kifo cha Sokoine 4. Kifo cha Membe 5. Kifo Cha Dr Mengi 6. Kifo cha Mch Christopher Mtikila 7. Kifo Cha Magufuli 8. Kupigwa risasi kwa Lissu 9. Kupotea kwa Bilali Mwisho , humanity, humanity ndo...
  18. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

    Afrika imekuwa ikishuhudia misururu ya mapinduzi ya kijeshi tangu enzi za Vita Baridi hadi karne ya 21. Nchi nyingi zilikumbwa na hali hii kutokana na migawanyiko ya kisiasa, kikabila na kiuchumi. Ghana ilipitia mapinduzi yake ya kwanza mwaka 1966, Nigeria ikashuhudia mapinduzi mara kwa mara...
  19. w0rM

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaweka Masharti Mapya kwa Huduma za Satelaiti! Starlink ili kutoa huduma, inapaswa ashirikiane na Mtoa Huduma wa ndani

    Tanzania imeanzisha Mwongozo Mpya wa Haki za Kupokea Satelaiti (Satellite Landing Rights Guidelines) unaobadilisha namna waendeshaji wa satelaiti wa kigeni watakavyofanya biashara nchini. Chini ya kanuni mpya, waendeshaji wa kigeni wanaouza uwezo wa satelaiti kama vile bandwidth, sasa...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
Back
Top Bottom