tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

    Afrika imekuwa ikishuhudia misururu ya mapinduzi ya kijeshi tangu enzi za Vita Baridi hadi karne ya 21. Nchi nyingi zilikumbwa na hali hii kutokana na migawanyiko ya kisiasa, kikabila na kiuchumi. Ghana ilipitia mapinduzi yake ya kwanza mwaka 1966, Nigeria ikashuhudia mapinduzi mara kwa mara...
  2. w0rM

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaweka Masharti Mapya kwa Huduma za Satelaiti! Starlink ili kutoa huduma, inapaswa ashirikiane na Mtoa Huduma wa ndani

    Tanzania imeanzisha Mwongozo Mpya wa Haki za Kupokea Satelaiti (Satellite Landing Rights Guidelines) unaobadilisha namna waendeshaji wa satelaiti wa kigeni watakavyofanya biashara nchini. Chini ya kanuni mpya, waendeshaji wa kigeni wanaouza uwezo wa satelaiti kama vile bandwidth, sasa...
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza kwa Deni Barani Afrika DENI LA TAIFA LA NJE (EXTERNAL DEBT🇹🇿)

    Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024) 4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024) 5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kunani kati ya rais Samia na Kikwete tusichojua na tunapaswa kukijua? Je, hii ni haki?

    Kuna ming'ono kuwa rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ndiye anaongoza Tanzania kwa kutumia remote kwa sasa. Je, kama ni kweli, inakuwaje tunayamaza? Inakuwaje anaendelea kulipwa haki za usataafu wakati hajastaafu na anashiriki siasa kila siku? Inakuwaje kila serikali inaposhambuliwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Polepople: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.

    JF Polepole anasema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS. Tanzania tunauziwa 55,000/= TZS. Aisee hii nchi kwishne..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  7. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mbelwa Petro: CCM ITAENDELEA KUURITHI UFALME WA IKULU YA TANZANIA MILELE NA MILELE.

    Tunapoelekea kuzindua kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku 61 zijazo, tume huru ya Taifa ya uchaguzi {INEC} ikiwa imeteua wagombea 17 wa kiti cha urais, chama cha Mapinduzi {CCM} kina silaha 3 muhimu katika uchaguzi mkuu huu wa 2025, ambazo ni; 1. Rekodi ya utekelezaji wa ilani ya...
  8. hamis77

    JamiiForums Tanzania Imam anayepingwa na kutukanwa sana hapa Tanzania

    Ni imam mkuu wa dhehebu la Shia hapa Tanzania. Anaitwa Hemed Jalala. Anakubali kashfa zote ambazo masuni wanawatuhumu mashia. Lakini naye akifungulia vitabu vya masuni, wanajawa uchungu maana kwa mujibu wake ni kwamba masuni wana majanga mengi zaidi kuliko mashia. Video yake juu uchambuzi wa...
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Japan kujenga miji minne kwa ajili ya Waafrika kutoka nchi nne kwenda kuishi: Tanzania ikiwemo

    📸Tokyo, Japan NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4 Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna uchaguzi Tanzania mwaka huu, kuna show kama za wasanii

    Hakuna uchaguzi mwaka huu itafika maonyesho haya ambayo msanii ni Mama Samia wanalipa na watalipa watu kwenda kupiga kura
  11. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Ama kwa hakika hakuna kulipo salama! Kasikika Mwabukusi: 1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  13. medisonmuta

    JamiiForums Tanzania Kupunguza Matumizi na Kujenga Uwajibikaji wa Kiserikali Tanzania

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ambapo mapato ya serikali mara nyingi hayalingani na matumizi yake. Badala ya rasilimali nyingi kuelekezwa katika maendeleo ya wananchi, sehemu kubwa ya bajeti imekuwa ikitumia kwa marupurupu ya wanasiasa, safari zisizo na tija, na matumizi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

    Naona kabisa ndivyo ilivyo Na ndicho hili Taifa linapitia kwa sasa.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna ukweli kuhusu kuwepo kwa gari ya bilioni 70+ ndani ya TZ, basi kuna maswali mengi sana

    Achana na ile Rolls Royce ya Bilioni 2 na nusu iliyompita Trafiki bila kusimama Kuna tetesi kuna hiki ni chuma kingine ROLLS ROYCE BOAT TAIL - Dola milioni 28 "bila ushuru" (shilingi bilioni 70 na kitu)
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Singapore yachangamkia fursa za biashara uwekezaji nchini Tanzania

    Singapore yachangamkia fursa za biashara uwekezaji nchini Tanzania Wafanyabiashara na wawekezaji wa nchini Singapore wameonesha nia ya kuongeza uwekezaji na ushirikiano wa kibiashara na Tanzania kupita sekta mbalimbali za kimkakati ikiwemo kilimo, nishati jadidifu, viwanda vya kuongezea thamani...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania imeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu ni kwamba juhudi hizi zikifanyika zitatusaidia kuongeza idadi ya Watalii na kuitangaza Tanzania.....''
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwaya za Kisabato Tanzania zimepotea kwenye Ramani ya uimbaji kutokana na kuiga uimbaji wa Kwaya ya Ambassador ya Rwanda.

    KWAYA ZA KISABATO TANZANIA ZIMEPOTEA KWENYE RAMANI YA UIMBAJI KUTOKANA NA KUIGA UIMBAJI WA KWAYA YA AMBASSADOR YA RWANDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati Ambassador ya Rwanda waki-trend nchi za Afrika mashariki watu wake walibarikiwa na nyimbo zao. Sio tuu wasabato bali hata watu wa...
Back
Top Bottom