Jana ilitolewa taarifa ikisema BOT, imeshusha riba kwa Mabenki kutoka 7% hadi 5%. Ili Mabenki yaweze kushusha riba kwa Wateja wake ambao ni wafanya biashara, wakulima na watumishi.
Kimsingi ni jambo jema lakini ikumbukwe kuwa mabenki yamewaachia wateja wao ghrama zote za uendeshaji wateja...