Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Msingi_Kiuno

Member
Joined
Feb 22, 2017
Messages
86
Points
125

Msingi_Kiuno

Member
Joined Feb 22, 2017
86 125
Wakuu habari ya muda....

Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.

Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.

Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....

Karibuni sana!
 
FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
676
Points
250

FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
676 250

Kama kozi hiyo inapatikana Tanzania komaa hapa hapa, nje ni gharama sana kama huna ufadhili full,maana maisha ni magumu,ada ziko juu,mpaka millioni 40 kwa kozi ambayo bongo ungemaliza kwa mill.6 tu
 
FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
676
Points
250

FATHER OF HISTORY

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
676 250
Scholarship nyingi zinataka TOEFL hebu tupeana uzoefu maandalizi yake na namna ya kujiandaa kwa ujumla

Tafadhali Google: "Advanced Africa Scholarship 2017" utapata Mischolarship ya Kumwaga hapo mpka utakimbia mwenyewe.
Vile vile Google :"CUCAS" utapata mischolarship ya China mpaka Utakohoa mwenyewe
 
Forum statistics

Threads 1,390,273
Members 528,139
Posts 34,047,949
Top