Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amebaini sukari zaidi ya makontena 115 iliyofichwa kwenye bandari kavu ya PMP, Mkuu wa Mkoa ametoa taarifa kuwa kuna zaidi ya Makontena 162 na sio 115 kama ilivyoripotiwa hivyo ameagiza zoezi la ukaguzi wa sukari liendelee kwenye Bandari kavu hiyo.
Jana: UHABA WA SUKARI: Paul Makonda aendesha msako, tani 4 zakamatwa Kinondoni - JamiiForums
Jana: UHABA WA SUKARI: Paul Makonda aendesha msako, tani 4 zakamatwa Kinondoni - JamiiForums